Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Update #Gnabry: We have often been told that a move to #CFC is NO topic for Serge due to his time at Arsenal. Gnabry decision in Munich soon.

@SkySportDE 🇩🇪
IMG_20220712_183032.jpg
 
🚨 Arsenal and Lyon are in ongoing discussions for Lucas Paquetá. There is no hurry between the clubs. The price wanted by Lyon is €60m. Lucas wants to make a sporting and financial leap for his career and hopes the move materializes. Reports, @gabe_carneiro.

https://t.co/GZUTrEJMrY
 
Arsenal and Lyon are in ongoing discussions for Lucas Paquetá. There is no hurry between the clubs. The price wanted by Lyon is €60m. Lucas wants to make a sporting and financial leap for his career and hopes the move materializes. Reports, @gabe_carneiro.

https://t.co/GZUTrEJMrY
karibu Aaron Arsenal.the forum missed you
 
Kweli ni muda aisee. Aaron sijui nini kimemkuta. Hamis na Mkorea nafikiri wamehamia kwenye draft kwanza. Wengine wameenda kuwasononesha mashabiki wa nyumbu na chelsea kwa kuwapa habari za kutoswa na wachezaji kwenye majukwa yao
Tupo around brother, once the gunner always the gunner

Na updates za Aaron unaziona hapo juu
 
(🌕) People who are close to Lucas Paquetá are believing that Arsenal will make a bid this summer. (@charles_watts vis @karthikadhaigal)
 
Pablo Bentancur (wakala wa Lucas Torreira): “Lucas kwenda Juventus? Kwa kweli, angependa kubaki na kucheza Italia, lakini leo, Arsenal wamemwita kwa ajili ya ziara watakayofanya Marekani, hivyo anaonekana kuwa sehemu ya programu hiyo.” [Sport Italia]
 
🚨 Arsenal ‘imezidisha’ nia yao ya kutaka kumnunua beki wa kushoto wa Benfica Alex Grimaldo na wanapanga kutoa ofa ya Euro milioni 7 wiki hii, mkataba ambao ‘unaifurahisha’ Benfica. [@JornalNoticias] #afc
 
Asante kaka , timu yetu unaionajee msimu ujao,
Nimekua kimya kidogo coz kuna maeneo yakifanyiwa sajili basi ntakua na clear picture kuhusu msimu huu

Pale kwa partey apatikane mtu, savic au tielemans (kama sijakosea majina)

Nuno tavares aende mkopo aje mtu lile eneo

Winger mmoja, japo hii sio lazima

Tukifanikwa hizo sajiri, msimu huu tutakua wamoto sana

Tofauti na hapo inabidi tu TRUST THE PROCESS
 
🚨 Arsenal ‘imezidisha’ nia yao ya kutaka kumnunua beki wa kushoto wa Benfica Alex Grimaldo na wanapanga kutoa ofa ya Euro milioni 7 wiki hii, mkataba ambao ‘unaifurahisha’ Benfica. [@JornalNoticias] #afc
 
🚨 Arsenal ‘imezidisha’ nia yao ya kutaka kumnunua beki wa kushoto wa Benfica Alex Grimaldo na wanapanga kutoa ofa ya Euro milioni 7 wiki hii, mkataba ambao ‘unaifurahisha’ Benfica. [@JornalNoticias] #afc
Iv tielemans ndo tumemkatia tamaa kabsa
 
Iv tielemans ndo tumemkatia tamaa kabsa
Hizi ni tactics zinatumika ili kushusha thamani yake, deal lake lina expire msimu ujao, hivyo kuchelewesha kumnunua hadi mwishoni wa dirisha kunafanya Leicester wawe desperate kumuuza hivyo kuna uwezekano bei ikashuka zaidi. Wakikosea hapo next season anaondoka bure.
 
Ni aheri abebwe tu, hizi vizia vizia, atatokea kipanga amzoe mwisho wa siku tunabaki tip kap
 
Hizi ni tactics zinatumika ili kushusha thamani yake, deal lake lina expire msimu ujao, hivyo kuchelewesha kumnunua hadi mwishoni wa dirisha kunafanya Leicester wawe desperate kumuuza hivyo kuna uwezekano bei ikashuka zaidi. Wakikosea hapo next season anaondoka bure.
apo nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom