HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,643
- 7,073
huyo aje tu tutampokea. Anajua style za pep na arteta. City wanaweza kuuza nadhani kwa sababu ya financial fair play na pia wameshajenga system nzuri ambayo mchezaji wao yeyote anaelewa na ana adapt hivyo hata wakiuzwa baadhi, waliobaki wataziba pengo bila shida, na wachezaji wapya wataadapt chap chap sana maana wanatamani kumuonesha pep uwezo wao
