Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

🗣 | Pep Guardiola on Jesus’ pressing quality without no ball:

“[He] is the best in the world in those terms. He can play in three positions up-front, he does absolutely everything for his mates for one minute or 90 minutes - it doesn’t matter how many minutes he plays.”

[MEN] https://t.co/4DkmeRq8NP
 
Hapana labda kumbukumbu zako hazipo sawa

Hizi Ni data zake ilikuwa 31 /8/2020

Arteta akiwa na miez 6 tu Toka apewe ukocha Arsenal

Bukayo Saka’s stats per position:

•Left wing: 18 games, 2 goals, 5 assists.

•Left back: 16 games, 1 goal, 4 assists, 7 clean sheets.

•Right wing: 5 games, 1 goal, 2 assists.

•Central midfield: 1 game, 1 assist.

Na hizo Central MD, na Right wing ,Arteta ndio alianza kumjaribu, hizo nafas za LW Arteta pia ndio kampa nafas nyingi ,emery na ljumberg wamemchezesha Sana LB

Saka mwenyewe alisema

“I always say that my best position is in the attacking line, whether that’s on the line or attacking midfield,” Saka said. “That’s my favourite position to play and also my best position to play in.”
Sawa sawa
 
Aisee bado sijapata link ya group la Arsenal family la WhatsApp

Nimewamisi wana familia wenzangu wa arsenal wa kina Kai, Engineer Shayo, fan boy etc

Pongezi kwa arsenal kwa hizi sajili.

Once gooner always gooner.
Njoo inbox nikupe namba ya admin akuunge
 
Aubameyang, Lacazette, Pepe, Partey and Gabriel Jesus all chose Arsenal without Champions League. Dont tell me we cant attract great players.
Mbona mnapenda kujitekenya wenyewe, hao wachezaji timu gani ilikua inawataka? Kwa Auba sawa, alikua anamapenz tu na Arsenal, hao wengine hata Man u tu pale na ubovu wake hawapati namba.
Tena huyo Pepe achilia mbali man u hata Mbeya kwanza hapati namba.
 
Natamani hata nisikujibu ,Ila basi

Pepe akiwa Lille alikuwa Moto na alitakiwa na vilabu hivi PSG, LIVERPOOL , N.K

Lacazette the same Aliookuwa Lyon alitakiwa na timu nyingi TU zilizokuwa UCL

Partey siwez kumzungumzia maana Anajieleza ,

Hapo Man u Kuna winger gan anamuweka nje Pepe? Unaniambia Sancho ? Rashford au Nan? Au ushabiki TU, Pepe anawekwa bench arsenal na Bukayo saka the wonder kid
 
Mh labda kama kuna mechi zilinipita.

Mimi nimemuona Saka akicheza LB kwa Arsenal haizidi mara mbili, nikamuona chini ya Emery akicheza RW tukiwa Europa akascore nje ya box kwa curve.

Baada ya hapo sikuona mechi aliyocheza nje ya RW isipokua alikua anapishana na Pepe na kumbukumbu zangu zinaniambia Arteta kamkuta RW akahisi anahitaji kukomaa na akaona Pepe siyo mzuri sana ndiyo akaletwa Willian.

Pepe na Willian wakaunderperform na Saka akabaki huko.
Saka under Emery alikuwa LW, kuna injury alipata Tierney ikafanya arudishwe LB, Arteta ndio alianza kumtumia RW.
 
Mbona mnapenda kujitekenya wenyewe, hao wachezaji timu gani ilikua inawataka? Kwa Auba sawa, alikua anamapenz tu na Arsenal, hao wengine hata Man u tu pale na ubovu wake hawapati namba.
Tena huyo Pepe achilia mbali man u hata Mbeya kwanza hapati namba.
So Partey hapati namba United? Tupunguze mahaba jamani.[emoji3]
 
Gabriel Jesus to Arsenal, here we go! Personal terms fully agreed with his agent Marcelo Pettinati and his two partners. Gabriel signs until 2027, it’s 100% done. 🚨⚪️🔴 #AFC

Arsenal already agreed ÂŁ45m fee with Man City as revealed on Friday.

Edu & Arteta, key for the deal. https://t.co/06dTVNNLmM
 
6 clubs approached Gabriel Jesus agents to make a deal but his priority has always been Arsenal. Edu and Arteta key to complete the deal (@FabrizioRomano)
 
🚨 || Gabriel Jesus will earn around £180k PW at Arsenal [Via - @DCMundim].
 
Natamani hata nisikujibu ,Ila basi

Pepe akiwa Lille alikuwa Moto na alitakiwa na vilabu hivi PSG, LIVERPOOL , N.K

Lacazette the same Aliookuwa Lyon alitakiwa na timu nyingi TU zilizokuwa UCL

Partey siwez kumzungumzia maana Anajieleza ,

Hapo Man u Kuna winger gan anamuweka nje Pepe? Unaniambia Sancho ? Rashford au Nan? Au ushabiki TU, Pepe anawekwa bench arsenal na Bukayo saka the wonder kid
Muwe mnaacha kuangalia habari za udaku za usajili, eti pepe alitakwaga na PSG na liva akazikataa akafata Arsenal hahaha....... kw uspesho gani?acheni kuzifanya story za vijiwe vya kahawa kuwa official.

Halafu huyo Partey angekua bonge la mchezaji asingetemwa na timu kubwa inayoshiriki UEFA aje kwnye katimu ka michongo km Arsenal. Alikua ni liability ndio mana Atletico wakamfungulia milango.

Nyie Arse88 Embu achen kudanganyana mkimpata mchezaji, juen hakina timu kubwa iliyomtaka. Gossip za mitandaoni zisiwadanganye.
 
Meza mate,kunywa maji mengi ...dawa nzuri ya msongo wa mawazo

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Muwe mnaacha kuangalia habari za udaku za usajili, eti pepe alitakwaga na PSG na liva akazikataa akafata Arsenal hahaha....... kw uspesho gani?acheni kuzifanya story za vijiwe vya kahawa kuwa official.

Halafu huyo Partey angekua bonge la mchezaji asingetemwa na timu kubwa inayoshiriki UEFA aje kwnye katimu ka michongo km Arsenal. Alikua ni liability ndio mana Atletico wakamfungulia milango.

Nyie Arse88 Embu achen kudanganyana mkimpata mchezaji, juen hakina timu kubwa iliyomtaka. Gossip za mitandaoni zisiwadanganye.
Kwanye groups zenu hapakaliki mnakuja kutupigia kelele huku. Manyumbu nguvu zakubishana kwasasa katika dirisha hili mnazitoa wapi?
 
Muwe mnaacha kuangalia habari za udaku za usajili, eti pepe alitakwaga na PSG na liva akazikataa akafata Arsenal hahaha....... kw uspesho gani?acheni kuzifanya story za vijiwe vya kahawa kuwa official.

Halafu huyo Partey angekua bonge la mchezaji asingetemwa na timu kubwa inayoshiriki UEFA aje kwnye katimu ka michongo km Arsenal. Alikua ni liability ndio mana Atletico wakamfungulia milango.

Nyie Arse88 Embu achen kudanganyana mkimpata mchezaji, juen hakina timu kubwa iliyomtaka. Gossip za mitandaoni zisiwadanganye.
Hebu malizana na daily mail hapo mkuu
Screenshot_2022-06-26-21-45-15-252_com.android.chrome.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom