KWENYE HII RACE YA RAPHINA MPINZANI MKUBWA NI BARCA
cha ajabu mpinzani mwenyewe hana hela , Barca anataka auze FDJ , happy hapo amuondoe Dembele , hapo hapo Bayern wameshasema bila £52m Lewa haondoki, na Barca walishamuahid Lewa atasepa
Wiki ijayo ndio Barca anatakiwa akamilishe Mambo yote , Hayo anatakiwa ayamalize next week
Arsenal wameshapanga kuanzia kesho wanakutana na Leeds wanapeleka ofa ya pili £50m plus 15 add ons ambayo Leeds ataikubali
MSIMAMO WA RAPHINA ,ANAPENDA KWENDA BARCA NI NDOTO YA WABRAZIL WENGI , ila Barca wakishindwa basi ataelekea Arsenal