Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,896
- 1,698
tieleman akitua ntakuwa na amani sana aseeeeArteta inasemekana anataka kwenye Preseason awe na Wachezaji wapya waanze kuzoea ,isiwe Kama msimu uliopita kupoteza mech 3 za awali
Partey na Tierney wapo fit 100%
Anatarajia kuwa na G.jesus, Vieira, Marquinho , Na huenda Raphina Kama usajiri wake utakamilika mapema
Dili mbili huenda zikakamilika mwishon kabisa hasa ya TIELEMAN ambaye personal terms sio issue
Leicester Wana demand £30-35m , Arsenal anajua Tieleman amebakiza mwaka mmoja na amegoma kuongeza mkataba , hivo dakika za mwisho Arsenal atapeleka ofa ya £20m-25m , Leicester itabidi amuuze kwa presha ya kumpoteza bure
TAARIFA zinadai kwasasa Hilo Dili Arsenal ameliweka pending , akitaka akamilishe Dili la Raphina na Lisandro Martinez


