lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,662
- 25,839
Arsenal mnatakiwa kupiga ramli kubwa kwenye last match yenu na ile ya Spurs
Spurs kwa bahati mbaya akidroo na Norwhich City mnatakiwa kumfunga Everton goli sio chini ya 16
Huu ni mtihani mkubwa sana kwani 99% Spurs anashinda hiyo game. 0.5% anadroo na 0.5% anafungwa. Mlisoma probability mtaelewa hii ina maana gani kwenu
So kwa kusema hayo ridhikeni tu na pos no. 5 hiyo mna uhakika wa kushiriki Futuhi League