Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hahahaha, ilianza quadruple...

Wiki mbili mlikua mnazungumzia quadruple, leo mnazungumzia single (nayo hamna uhakika nayo)... Nilisema game ya Bolton itakuwa na domino effect.
splash-arse_1233594a.jpg

...ikaja treble...

EPL, CL na FA

...mara double, ndani ya wiki mbili imebaki single ngoja tuone nayo itaisha vipi.
 
Nilifika kimyakimyaa....

Nikakaa kimyakimyaa.....

Na Naondoka kimyakimyaaa.....

Wasalaam..!
:focus::lol::focus:

Well you won but not very convincingly ... .... .... naona leo bahasha zilianza kufanya kazi mapema .... . . at least you have turned it around kwa kutumia kila mbinu. Good luck for the rest of the season. ... .... .... ..... ... we are waiting for you at the Emirates.
 
About time you eat humble pie..
 
...another very disappointing season, and we end up a laughing stock!
Huh!? hata injury hit Man United wametufunga? this is hillarious!
Sina hata cha kujitetea.

Eqlypz, BJ, Manda, Papizo, mfarisayo, Belo and the Rest...hongereni sana. :hail::hail::hail:
 
nazani ni muda muafaka wa washabiki wa ze goonerz kuanza kupendelea mtibwa. msitafute marazi ya sukari wakuu, babu wa loliondo kazuiliwa na serikali kutoa huduma.
 
800458834_14010239-596x362-1299962838769_304x185_inline.jpg

Johan Djourou needed oxygen as he was carried off (PA)

Djourou is out for the rest of the season (with a suspected broken collar bone,) as Vermaelen.
Kwahiyo Central defenders wamebakia (unlikely partners) Kos na SQUILLACI...!

Our season is truly over wakuu, no hope.
Kujitia tamaa ya ubingwa EPL ni sawa na "kutamani ugali kwa harufu ya kitoweo cha jirani."
Hatuna 1st choice keepers wala 1st choice defenders.

Tutange msimu ujao, ingawa transfer policy za Wenger zinaeleweka.
Zaidi ya potential players, hatasajili wachezaji wa maana.
Washabiki wengi wa Arsenal wanamlaumu sana Denilson, lakini binafsi 1st one out of the door should be
Diaby, akifuatiwa na Rosicky, na Arshavin!

Almunia majuzi kawaponda wachezaji wenzake hawajitumi. Nadhani hili litam cost,
Wenger hataki wachezaji wake wakosoane kwenye media.
Ndio yale yale ya yaliyomkuta Gallas.
Arsene Wenger anaendekeza hali hii mwishowe team inakosa leaders.
Mafanikio ya Chelsea, Man United na hata Spurs yanatokana na wachezaji fulani kujitokeza kuwakosoa wenzao
uwanjani na nje ya uwanja. That's the only way to improve team performance.

...dah, Arsene Wenger leo kaonyesha sura ya uchungu mpaka nikamhurumia. Lakini "mtoto umleavyo!"
Kuna wakati natamani washabiki wafanye maandamano kama ya Egypt na Tunia wamng'oe, lakini the reality is,
players like Diaby, Arshavin, Rosicky ndio wanaomuangusha ARSENE WENGER!

Well, well well...
Together We Stand, kwa dhiki na faraja mpaka kifo kitapotutenganisha.
 
Djourou is out for the rest of the season, as Vermaelen.

Yaani mzee Mbu hapo ndo ninapo kukubali kwenye makosa ni lazima useme ukweli,AW must shallow his pride and get A class players to win trophy cause the financial profit only favors the few and not the fans.
Barcelona wanacheza mpira wa kuvutia kuzidi nyie ila wana wachezaji wakubwa wenye majina na potential players sasa ona kila siku mnasindikiza tu hata FAB,RVP,Nasri wanachoka watachomoka pale ndo muone mnavyovuja zaidi............
Ila pole sana mkuu naona bundi hataki kuruka.

Well you won but not very convincingly ... .... .... naona leo bahasha zilianza kufanya kazi mapema .... . . at least you have turned it around kwa kutumia kila mbinu. Good luck for the rest of the season. ... .... .... ..... ... we are waiting for you at the Emirates.
Yaani mzee wa kheeeeeeeekheeeeeeee naona umekua mpole hiyo ndo MAN UTD ilibidi mle nyingi sana leo.....sema ndo hivyo tumewatunzia heshima yaani kila siku bahasha au refa ndo hivyo Kheeeeeeekheeeeeeeeeekheeeee

Yaani mzee Mbu hapo ndo ninapo kukubali kwenye makosa ni lazima useme ukweli,AW must shallow his pride and get A class players to win trophy cause the financial profit only favors the few and not the fans.
Barcelona wanacheza mpira wa kuvutia kuzidi nyie ila wana wachezaji wakubwa wenye majina na potential players sasa ona kila siku mnasindikiza tu hata FAB,RVP,Nasri wanachoka watachomoka pale ndo muone mnavyovuja zaidi............
Ila pole sana mkuu naona bundi hataki kuruka.

Tatizo la Arsenal sio kutokuwa na world class players, heck wanao wengi tuu (RVP, Nasri, Fabregas, Wilshere) tatizo ni kuwa a) hakuna natural born leader kwenye dressing room a la Viera au Keane b) wachezaji wengi wakishaanza kutrail basi wanakata tamaa/panic na kuanza kufanya makosa yanayoweza kuepukika c) Hakuna ile determination, grit na mentality ya by any means necessary mfano mzuri ni kwenye mechi ya leo, Man Utd tulikuwa na make-shift team Arsenal hawakuchukua advantage.

Kitu kingine Arsenal hawana Plan B pindi Plan A inapovurugwa na timu pinzani, miaka yote SAF anatumia tactic ya counter attack kuwafunga Arsenal and I am surprised Wenger bado hajaling'amua ilo.
 
Natamani Wenger angekuwa anaingia na huku na kusoma haya maoni, hasa hili la Plan B. By the way, MBu pole sana ndio ukubwa!. Lakini sasa imekuwa ni mazoea, huyu mzee sasa inabidi aondoke hana jipya mambo ya anao anao wakati umepita watu wanataka results.
 
Well you won but not very convincingly ... .... .... naona leo bahasha zilianza kufanya kazi mapema .... . . at least you have turned it around kwa kutumia kila mbinu. Good luck for the rest of the season. ... .... .... ..... ... we are waiting for you at the Emirates.

Khe kheeeeeee! that's y i like you dude. U cant miss excuses. Anyways, nadhani taaluma yako ni uanasheria.

Congratulations to BJ & Company and all the best in your remaining games.

YouTube - Wiz Khalifa - Black And Yellow [Official Music Video]

Hahahahahaha!, BBK banaaaa!:lol:

...another very disappointing season, and we end up a laughing stock!
Huh!? hata injury hit Man United wametufunga? this is hillarious!
Sina hata cha kujitetea.

Eqlypz, BJ, Manda, Papizo, mfarisayo, Belo and the Rest...hongereni sana. :hail::hail::hail:

Pamoja kaka!

800458834_14010239-596x362-1299962838769_304x185_inline.jpg

Johan Djourou needed oxygen as he was carried off (PA)

Djourou is out for the rest of the season (with a suspected broken collar bone,) as Vermaelen.
Kwahiyo Central defenders wamebakia (unlikely partners) Kos na SQUILLACI...!

Our season is truly over wakuu, no hope.
Kujitia tamaa ya ubingwa EPL ni sawa na "kutamani ugali kwa harufu ya kitoweo cha jirani."
Hatuna 1st choice keepers wala 1st choice defenders.

Tutange msimu ujao, ingawa transfer policy za Wenger zinaeleweka.
Zaidi ya potential players, hatasajili wachezaji wa maana.
Washabiki wengi wa Arsenal wanamlaumu sana Denilson, lakini binafsi 1st one out of the door should be
Diaby, akifuatiwa na Rosicky, na Arshavin!

Almunia majuzi kawaponda wachezaji wenzake hawajitumi. Nadhani hili litam cost,
Wenger hataki wachezaji wake wakosoane kwenye media.
Ndio yale yale ya yaliyomkuta Gallas.
Arsene Wenger anaendekeza hali hii mwishowe team inakosa leaders.
Mafanikio ya Chelsea, Man United na hata Spurs yanatokana na wachezaji fulani kujitokeza kuwakosoa wenzao
uwanjani na nje ya uwanja. That's the only way to improve team performance.

...dah, Arsene Wenger leo kaonyesha sura ya uchungu mpaka nikamhurumia. Lakini "mtoto umleavyo!"
Kuna wakati natamani washabiki wafanye maandamano kama ya Egypt na Tunia wamng'oe, lakini the reality is,
players like Diaby, Arshavin, Rosicky ndio wanaomuangusha ARSENE WENGER!

Well, well well...
Together We Stand, kwa dhiki na faraja mpaka kifo kitapotutenganisha.

Hats off kwa rational analysis, AW na Questt pia wanaweza andika point hizi.

Wapi Michelle?:tongue:
 
Arsenal Lack a natural Finisher!
Even rebounds from the super van der STAR! could not benefit them, where is Thiery Henry?
 
800458834_14010239-596x362-1299962838769_304x185_inline.jpg

Johan Djourou needed oxygen as he was carried off (PA)

Djourou is out for the rest of the season (with a suspected broken collar bone,) as Vermaelen.
Kwahiyo Central defenders wamebakia (unlikely partners) Kos na SQUILLACI...!

Our season is truly over wakuu, no hope.
Kujitia tamaa ya ubingwa EPL ni sawa na "kutamani ugali kwa harufu ya kitoweo cha jirani."
Hatuna 1st choice keepers wala 1st choice defenders.

Tutange msimu ujao, ingawa transfer policy za Wenger zinaeleweka.
Zaidi ya potential players, hatasajili wachezaji wa maana.
Washabiki wengi wa Arsenal wanamlaumu sana Denilson, lakini binafsi 1st one out of the door should be
Diaby, akifuatiwa na Rosicky, na Arshavin!

Almunia majuzi kawaponda wachezaji wenzake hawajitumi. Nadhani hili litam cost,
Wenger hataki wachezaji wake wakosoane kwenye media.
Ndio yale yale ya yaliyomkuta Gallas.
Arsene Wenger anaendekeza hali hii mwishowe team inakosa leaders.
Mafanikio ya Chelsea, Man United na hata Spurs yanatokana na wachezaji fulani kujitokeza kuwakosoa wenzao
uwanjani na nje ya uwanja. That's the only way to improve team performance.

...dah, Arsene Wenger leo kaonyesha sura ya uchungu mpaka nikamhurumia. Lakini "mtoto umleavyo!"
Kuna wakati natamani washabiki wafanye maandamano kama ya Egypt na Tunia wamng'oe, lakini the reality is,
players like Diaby, Arshavin, Rosicky ndio wanaomuangusha ARSENE WENGER!

Well, well well...
Together We Stand, kwa dhiki na faraja mpaka kifo kitapotutenganisha.

Mbu, chozi halijakutoka kweli mana nimesoma hiyo analysis yako nikapata picha kama nakuona vile...
Well AW nilimhurumia sana pia nahisi machozi yalikuwa yanamlenga au macho yake?!!!
Poleni sana wote Mbu,BAK,AW,Wacha1,KWeli,Balantanda,Katavi,Michelle & other fans!!..
 
Wapi Michelle?:tongue:

.....silence means a lot....yuko ICU amewekewa OXYGEN...... maybe tutamuona season ijayo........😛anda:.......kwa wapenzi wote wa Arsenal :hug::hug:......Manda acha :gossip:....kwa waliotupa pole tunashukuru sana.....VIVA ARSENAL!!!!
 
Back
Top Bottom