Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ebanae Almunia kawatoa kudadeki... ila naona majeruhi mmepata bad injury.
 
Djouro anarudi kwenye injury list, Squallaci atarudi mechi zijazo kuja kutoa magoko pale kupeperusha kombe la mwisho.


Yule Varmelen sijui aliishia wapi na injury yake.

Same old Arsenal .Tungoje mwakani tuanze upya kusindikiza.
 
You will SOON be OUTof a THIRD competition - in only two weeks! what a remarkable record
 
Djouro anarudi kwenye injury list, Squallaci atarudi mechi zijazo kuja kutoa magoko pale kupeperusha kombe la mwisho.


Yule Varmelen sijui aliishia wapi na injury yake.

Same old Arsenal .Tungoje mwakani tuanze upya kusindikiza.


Hahahahahaha, same old pretenders!
 
Dakika nane za nyongeza. Injury ya Djourou inaonekana mbaya sana, poleni waungwana.
 
You will SOON be OUTof a THIRD competition - in only two weeks! what a remarkable record


Jamaa wameamua kuweka records tu mwaka huu, walianza na ile ya Jumatano pale Camp Nou, sihitaji kurudia kila mtu anajua.
 
Mpaka hapo management ya Gunners itakapoamua kuachana na ubahili wa kusajili vifaa vya uhakika na vyenye kujituma uwanjani siye tukubali kunyanyaswa tu mwaka nenda mwaka rudi na akina Chelsick na MANU. Timu iko katika very sound financial position kuliko timu yoyote ile duniani lakini kwenye usajili ni zero kabisa.

Kaka huku kwenye fani yetu ukiaambia unasafiri na (soooooory kwa watani zangu) wapare mkuu ujue ni balaa. Hurudi na kitu!
 
Scholes kaponea chupu chupu pale... Chichaaaarto dah what a save from Almunia.
 
Kutoka makombe manne mpaka kubaki moja ni kawaida kwa Arsenal.

Kwa stahili hii sitoshangaa mwishoni tukijikuta tunaangaika kubaki top 4 sio kugombea ubingwa.
 
ndo basi tena....kutoka kwenye 4 competitions mpka kwenye only one Competition....Tuna tegemea Ligi tu......Nayo nina hakika hatuta fanya vema....koz morali ya ushindi hakuna since tumeshindwa kuchukua Carling Cup......Sijui itokee miujiza gani tu katika hii timu...Its high time to get rid of Almunia, Diaby, Denilson and the Likes......then we can start thinking of winning a TROPHY......Otherwise things will always be the same every season....It pains as a Gooner this time around.............. Congrats to Man Utd....
 
Back
Top Bottom