Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa haka ka kombe kalichobakia tujitume basi manake nomaaa. Kila mwaka kula ng'ombe kushindwa kumalizia mkia haina maana .
 
It's definitely a fortnight to remember at the Emirates library.
 
Haya watani poleni, kusema kweli hii mechi nilikuwa na kihoro nayo lakini kama kawada naona Arsenal hamkuwa na plan b. Bundi officially kaondoka Old Trafford na kurudi London (Northern).
 
Poleni wakuu wa gunners wenzangu, tupeleke nguvu kwenye mechi za mwisho za ligi na tusubiri mabadiriko offseason.

Tuko pamoja wakuu, matokeo yanaendana na matumizi yetu wakuu, kwahio siku itafika mambo yatakuwa safi.
 
Haya watani poleni, kusema kweli hii mechi nilikuwa na kihoro nayo lakini kama kawada naona Arsenal hamkuwa na plan b. Bundi officially kaondoka Old Trafford na kurudi London (Northern).

Hahahahaha, bundi karudi kwenye makazi yake ya kudumu, The Emirates Library....hapo ndio nyumabi kwake kwa miaka sita sasa.
 
Wiki mbili mlikua mnazungumzia quadruple, leo mnazungumzia single (nayo hamna uhakika nayo)... Nilisema game ya Bolton itakuwa na domino effect.
splash-arse_1233594a.jpg

tehe tehe tehe mtoto akililia hela muachie achezee akilala utaichua ndo ka style ka ferg kwa arsenal watachezeaa weeeeeeeeeee mpira mwisho wa siku kaubao kanasomeka vibaya kwao
 
Poleni wakuu wa gunners wenzangu, tupeleke nguvu kwenye mechi za mwisho za ligi na tusubiri mabadiriko offseason.

Tuko pamoja wakuu, matokeo yanaendana na matumizi yetu wakuu, kwahio siku itafika mambo yatakuwa safi.

mtakufa na presha kwa kupenda vitu vibovu
 
Jamani sio vizuri kung'ang'ania maturubai ya matanga, mnataka hadi yachakalie kwenu?
 
Poleni wakuu wa gunners wenzangu, tupeleke nguvu kwenye mechi za mwisho za ligi na tusubiri mabadiriko offseason.

Tuko pamoja wakuu, matokeo yanaendana na matumizi yetu wakuu, kwahio siku itafika mambo yatakuwa safi.

Una roho ngumu wewe, mimi nimeshakata tamaa long ago
 
Nilifika kimyakimyaa....

Nikakaa kimyakimyaa.....

Na Naondoka kimyakimyaaa.....

Wasalaam..!
:focus::lol::focus:
 
Hizi ndo zile siku zinapima mapenzi yangu kwa Arsenal.......It hurts....anyway,VIVA ARSENAL:sick:

Poleee, kwa kweli jipime mwenyewe haipendezi kabisa kupata presha ukiwa na umri mdogo kiasi hicho hata kama babu wa loliondo anayo dawa si vizuri kukaribisha vitu ambavyo vinaepukika
 
Back
Top Bottom