Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wachezaji wangu wanawafanya wachezaji wa Arsenal waonekane kama Barcelona kha!! We need to stuff the air out of Arsenal's midfield .
 
Poleni sana wakuu...............Ndo ukubwa huo....lol

Mi kila nikimuiona Diaby uwanjani najua tunafungwa tu...........Sijui kwa nini
 
Arshavin ambae atleast anaweza ku-hold mpira kujaribu kuleta shambulizi nae katolewa, kaja rosicky kutoa pasi zake mbovu.
 
Bora Arshavin ametoka maana uwa anatuletea sana matatizo.... jamaa sijui uwa anakamia mechi dhidi ya Man Utd.
 
Arshavin ambae atleast anaweza ku-hold mpira kujaribu kuleta shambulizi nae katolewa, kaja rosicky kutoa pasi zake mbovu.

Mpaka hapo management ya Gunners itakapoamua kuachana na ubahili wa kusajili vifaa vya uhakika na vyenye kujituma uwanjani siye tukubali kunyanyaswa tu mwaka nenda mwaka rudi na akina Chelsick na MANU. Timu iko katika very sound financial position kuliko timu yoyote ile duniani lakini kwenye usajili ni zero kabisa.
 
Back
Top Bottom