Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Kila la heri washika bunduki wenzangu.......Sisi ndio Arsenal na jadi yetu ni kwamba 'Together we Stand'
Lazima watakuwa na uhusiano mwingine wa karibu zaidi ya ufaransa. Labda diaby anatoka na ndugu wa karibu wa Wenger lool.
salama wadau Wenzangu??? leo japo line ups za timu zote mbili haziko sawa...but sisi ni zaidi koz pale kati kuna mawe mawili....Li diaby na Denilson....Sina imani ni hawa watu kabisa.....
Diaby akicheza lazima niwe na wasiwasi na game husika....Sijui ni kwa nini hata............
Tutawatandika nyingi leo....
Si uende jukwaani kwako,Tutawatandika nyingi leo....
Si uende jukwaani kwako,
...he he he, team yangu Arsenal inavyocheza leo, mnh...wala sitoshangaa.
Lakini Chenga twawala!
Tuko nyuma kwa bao 1
Who shouldn't Blame our defense on that??????? bado kuna Muda wa kurudi...Ila kama tukitolewa na FA hata ligi tusahau....ni kukomaa kusheza CL next season....Hakuna spirit ya ushindi kabisa.....Final balls hazipo.......