Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Chance Gani sijui anataka huyu Diaby ili afunge,,,,,,Ni zaidi ya Slow...sijui AW anampendea nini?????
 
Wachezaji wetu hata sidhani kama wanajua kama wanacheza robo fainali.

Sijawahi kuona wachezaji wako wako tu bila mzuka wa kujituma kama wachezaji wa timu yetu.
 
Wachezaji wetu hata sidhani kama wanajua kama wanacheza robo fainali.

Sijawahi kuona wachezaji wako wako tu bila mzuka wa kujituma kama wachezaji wa timu yetu.

Bado wanaugulia vipigo vya Birmingham na Barcelona.
 
We are down again at HT:angry: due to poor or lack of defensive tactics
 
Kuna mtu yoyote ana link ya hii game? Maana naona Homeland Security (USA) wameshailamba ATDHE.NET.. A'fu hii game inanipa sana pressure mpaka kipenga cha mwisho kitakapolia ndio nitatulia.
 
Kuna mtu yoyote ana link ya hii game? Maana naona Homeland Security (USA) wameshailamba ATDHE.NET.. A'fu hii game inanipa sana pressure mpaka kipenga cha mwisho kitakapolia ndio nitatulia.

jamaa hao siku hizi wanatumia hii atdhenet.tv lol.
 
Wenger basi atatizama tu bila kufanya mabadiriko mapema.

Nita m-tweet Wilshere na kumwambia amuumize Diaby mazoezini hili atupunguzie mzigo.
 
Back
Top Bottom