Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakulu,

Mambo hayakwenda kama ilivyopangwa.

Inajulikana Walcott na Alex Song hawakuweza kucheza mechi ile pale Nou Camp na Cesc Fabregas alicheza baada ya msuli kutuna tena na ndio maana hakuweza kucheza katika hali yake ile tumwonayo akichezea Arsenal.

article-1299779162162-0D88317C000005DC-246841_636x300.jpg

Cesc Fabregas -the engine room was cold at Nou Camp

Walcott aliwachosha sana Barca pale Emirates na hata tukaweza kufunga magoli yale mawili. Hata hivyo Barcelona kama wangetumia nafasi walizopoteza pengine wangefunga magoli mengi. Kwahio ile kasi ya mchezo ambayo Arsenal ilitumia pale Emirates haikuwepo kule Nou Camp isipokuwa Jack Wilshere tu ndio alikuwa akijaribu na alifanikiwa kumpa mpira Nichlas Bendtner kwenye dakika ya 89 na kama kawaida yake badala la kuunganisha kupeleka wavuni akataka "second touch" na akazuiwa na beki.

Alex Song pale Emirates alisaidia kulinda back four na alifanya kazi hio kwa ufanisi mkubwa. Abou Diaby alishindwa kazi hio pale Nou Camp na alikuwa alipoteza mipira mingi sana kwa Xavi na pia alisababisha msongamano pale kwenye "midfield" na hatimae Barca wakafunga goli la tatu ambalo ndio liliwakatisha tamaa Arsenal.

Wakulu msiwe na wasiwasi kwenye ligi kuu Arsenal ina "game in hand" na tupo nyuma kwa 3 points tu na nina imani tutawafunga West Brom na Blackburn kupata 6 points.

Jumamosi tunawatoa Man Utd hata kwa goli 2 tu zitatosha.
Mmh nanyi!, siku zote hamkosi sababu. Wewe unamali mkononi unashindwa kuilinda?, pale haukutakiwa ufundi wala kuremba ilitakiwa kulinda goli. Hamjifunzi toka kwa wenzenu, kwa mtazamo wenu mlitaka kuwafundisha Barca jinsi ya kutandaza?. Halafu kila siku kosa lile lile, mnatakiwa kucheza kulingana na game mliyonayo, sio mchezo wa aina moja tu.
 
the Gunnerssss.... Kesho ushnd lazma au co the gunnerss haijalish 2namajeruh wangap ila ushnd lazma the gunnerss oyeeee...!
 

1299837766467588.jpg


...wakati Man United wakiuguza kina Nani, Anderson, Park Ji Sung na Rio...Arsenal tuna Goal Keepers Crisis;

6 weeks - Wojciech Szczesny, Out Whole Season - Lukas Fabianski, 6 weeks - Vito Mannone.
Other Injuries; Fabregas, Walcott, Song, TV5, Frimpong.

...Bring them on!!!
 

1299837766467588.jpg


...wakati Man United wakiuguza kina Nani, Anderson, Park Ji Sung na Rio...Arsenal tuna Goal Keepers Crisis;

6 weeks - Wojciech Szczesny, Out Whole Season - Lukas Fabianski, 6 weeks - Vito Mannone.
Other Injuries; Fabregas, Walcott, Song, TV5, Frimpong.

...Bring them on!!!
Hatuna wachezaji kumi wa timu ya kwanza kesho....ukizingatia tuna game mbili muhimu zinakuja jumanne na jumamosi.
 
Man UTD watapata tabu....!!! nitarudi baada ya match:lol:
 
Nashangaa sana watu wako so much concerned na issue za arsenal fc,nyumba zao zinaungua wanawashwa na yetu,anyway nahisi wana tukubali kiaina!
 
wakuu list la leo :

almunia, gibbs,koscienly,sagna,djouro,denilson,diaby,wilshere,nasri,arshavin,van persie.


Ka-Diaby kanapendwa kweli na Wenger duuuh.
 
wakuu list la leo :

almunia, gibbs,koscienly,sagna,djouro,denilson,diaby,wilshere,nasri,arshavin,van persie.


Ka-Diaby kanapendwa kweli na Wenger duuuh.

...mwenyewe Babu anamfananisha na Viera! LoL!...
ANYWAY, TOGETHER WE STAND!

btw, manda kasema anashangilia kimyakimya...
ndio zetu hizo washika bunduki!

Tuone leo Bundi atatagia wapi!
 
I'm tipping nasri and van p to ignite some sparks in this crucial game 2nite!
 
jamani leo niko mali na tivii japo kwa nusu saa

ila nimesoma kwamba manure wamepaki magari matatu ya mkaa na manne ya kuzoa taka pale golini... aibu sana kwa fergie kucheza defence
 
Back
Top Bottom