Timu pekee ya kumtoa Barca labda ni Bayern Munich,7bu kocha wao alifundisha Barca enzi hizo msaidizi wake Mourinho kwahiyo anawajua vizuri,ila sidhani wengine eg Real Madrid,Chelsea na Man UtdKwanza sijui wewe ni timu gani maana naona kama u mgeni hapa SEF(sorry kama nimekukwaza)....Mwaka jana aggregate ilikuwa 6-3...
Barca leo naona kama tungewaweza kama RVP asingepewa kadi,nina uhakika na hilo.....Kiujumla Barca hawatishi kivile na nina uhakika wataishia QF,hawataenda popote.............Leo refa kawabeba kubali kataa
Dua la kuku halimpati mwewe,hatutatolewa na timu yoyote kutoka England madomokaya mpira hawajui lol,ukitaka wapende au wachukie Barca ndio timu bora kwa sasa duniani,yani acha tu Iniesta,Xavi,Pedro,Messi,Biskut,Villa,Alves,Pique na Abidal wanatisha khekhekhee naona jana hadi baadhi ya mashabiki wengine wa Man Utd na Chelsea waliungana kutaka Arsenal iwatoe Barca,kweli wanatisha na kuogopewa lol.hawana lolote mpaka wabebwe kwa mbeleko ya chuma ndio wawatoe the guners,watakutana robo na chelsea lazma wang'oke kenge hawa.
:A S 13::A S 13: Kuna wageni wana tabia mbaya sana....unazamia msibani hadi unakera....nimechelewa kuja nikijua watakuwa wameshaondoka nashangaa wako tu......kama mnataka tuwaachie jukwaa tutawaachia....waone kwanza.......em nendeni bwana tuna kikao......he he he he....am kidding....
VIVA ARSENAL......!!!!
:A S 13::A S 13: Kuna wageni wana tabia mbaya sana....unazamia msibani hadi unakera....nimechelewa kuja nikijua watakuwa wameshaondoka nashangaa wako tu......kama mnataka tuwaachie jukwaa tutawaachia....waone kwanza.......em nendeni bwana tuna kikao......he he he he....am kidding....
VIVA ARSENAL......!!!!
Hee! Maswali ya kipolisi hadi huku??! Huu msiba kiboko! Pokea pole zangu kwanza halafu ndo tutambulishane mkuu...he!? ashakum si matusi,...wewe ni nani?
Noted:Tangazo kwa 'wazamiaji'wote..., KUSHIRIKI MSIBA HUU, LAZIMA UWE NA KITAMBULISHO!!!Safi sana hawa wanaoibuka kama uyoga chijui matokea wapi? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeee dirisha dogo limefungwa bana khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee waingie kwa vitambulisho .... ...
Hee! Maswali ya kipolisi hadi huku??! Huu msiba kiboko! Pokea pole zangu kwanza halafu ndo tutambulishane mkuu...Noted:Tangazo kwa 'wazamiaji'wote..., KUSHIRIKI MSIBA HUU, LAZIMA UWE NA KITAMBULISHO!!!
Naona watu hawabaduki hili kukwaa kulikoni? Haya mwende nyumabi kwenu sasa araaaa, wazazi wanawatafuta ni usiku sasa mtuache wenye nyumba tujadili maswala yetu
Mtoto mrembu huyu naona mzee ananyemelea kushika hips kwa nyuma
BJ vipi matanga mmemaliza? Naona maneno mingi wakati bado uko kwenye msiba. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee naona bado una ndoto za magoli ya loserfools.
Wacheni waseme jamani, Gunners wanawanyima watu wengi sana usingizi! Khe khe khekhe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee yaani tangu mwaka mpya umeanza tumepoteza game mbili kwa hiyo furaha waliyonayo ni kubwa .... ..... as a team we learn kutokana na kufungwa vile vile. Barca wetu hawa tuliwachapa vile vile Emirates ... ...
Poleni ,tangu mmepata msiba nilikuwa sijapata.Karibuni Old Trafford
Tanga letu limekuwa na ahueni,tukiwakomesha ndio litaisha kabisa mpaka mpate kiwewe kufungwa mfululizo..kichapo cha liverfools bado kipo kwa mbali ila kwa karibu nope!!..nyie je? mlitoa macho J4 ha ha..
Gunners mnajinyima wenyewe usingizi Wacha1..halafu kumbuka Barca nao waliwachapa vilevile kwao halafu na mmetoka kwenye mashindano,msubiri yajayo..Ila homeboy una courage sana kama vile kichapo hakikuwauma!!..Matanga yataisha mwisho wa machi nahisi🙂)
Dawa yao ni kuwakalia kimya maana ukispeak your mind out unakuwa matatani ukikaa kimya nongwa sasa mnataka tufanye nini?Waandishi wa habari wanataka kuongea na nyie kuhusu mechi ya liverpool , wafungulieni mlango lol. Hacheni kususa kufungwa ni kawaida ya mchezo ha ha ha.