Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Toka Jesus kaja , Nan kacheza mech nying dhidi ya mwenzieHapana.
Toka Jesus kaja , Nan kacheza mech nying dhidi ya mwenzieHapana.
Unahisi why Pep alimtaka Kane na Jesus yupo wakati Aguero anaondoka?why tena now anamtaka Haaland na Jesus yupo?kwa nini ahangaike kutoa Mamilioni ya Paund wakati Jesus yupo?si ana kiwango cha world class player?sijui kwa nini Pep anahangaika wakati anaweza akamfanya Jesus awe first choiceHoja yangu Mie ni kupinga kuwa Jesus sio second choice, Kwa uwezo wa Aguero kama pep angeamua kumtumia Jesus kama second choice wala ata nisingelaumu maana kun ni habari ingine ila hilo halikutokea kwahiyo siwezi kukubali kumuita Jesus second choice ilhali takwimu zinakataa
Msimu wa 2017/2018 ambapo Mo Salah akachukua ufungaji Bora, pep alikuwa anamtumia zaidi Jesus badala ya Aguero kutokana na uwezo wake wa kucheza pembeni, ila Aguero akawa hawezi kutokea pembeni anapata tabu kufanya link up na wenzie, huo msimu pep akapewa sana lawama juu ya matumizi mabaya ya mchezaji kama Aguero
Ulipoingi msimu wa 2018/2019 watu wakajua pep atakuwa kajifunza ila wapi Aguero akaendelea kupokezana Namba na Jesus, ila jamaa alikuwa mara kibao akitokea bechi anaweka, Hadi kukawa na uvumi kuwa pep alikuwa na ugomvi na Aguero, huu msimu Aguero alimaliza nyuma ya kina Auba ye akiwa na goal 21
Kwahiyo jamaa hoja yake ya kusema kuwa Jesus alikuwa second choice haina mashiko na wala sio kweli maana pep amewapiga sana rotation, ye angesema kuwa Jesus alikuwa second best baada ya Aguero hapo ningemuelewa
Hoja yangu Mie ni kupinga kuwa Jesus sio second choice, Kwa uwezo wa Aguero kama pep angeamua kumtumia Jesus kama second choice wala ata nisingelaumu maana kun ni habari ingine ila hilo halikutokea kwahiyo siwezi kukubali kumuita Jesus second choice ilhali takwimu zinakataa
Msimu wa 2017/2018 ambapo Mo Salah akachukua ufungaji Bora, pep alikuwa anamtumia zaidi Jesus badala ya Aguero kutokana na uwezo wake wa kucheza pembeni, ila Aguero akawa hawezi kutokea pembeni anapata tabu kufanya link up na wenzie, huo msimu pep akapewa sana lawama juu ya matumizi mabaya ya mchezaji kama Aguero
Ulipoingi msimu wa 2018/2019 watu wakajua pep atakuwa kajifunza ila wapi Aguero akaendelea kupokezana Namba na Jesus, ila jamaa alikuwa mara kibao akitokea bechi anaweka, Hadi kukawa na uvumi kuwa pep alikuwa na ugomvi na Aguero, huu msimu Aguero alimaliza nyuma ya kina Auba ye akiwa na goal 21
Kwahiyo jamaa hoja yake ya kusema kuwa Jesus alikuwa second choice haina mashiko na wala sio kweli maana pep amewapiga sana rotation, ye angesema kuwa Jesus alikuwa second best baada ya Aguero hapo ningemuelewa
[/QUOTEKwa mujibu wa takwimu toka 2016 inaonesha Hawajapishana mech za kucheza , Tena huenda Aguero kazidiwa mechKwenye Premier League Jesus kacheza mechi 155 Aguero mechi 275.
Jesus kacheza CL 37 Aguero kacheza 79.
FA Jesus kacheza 20 na Aguero kacheza 22.
Efl Jesus kacheza 17 na Aguero kacheza 22.
Sasa nijibu wewe nani alikua second choice?
Najaribu kudigest maneno ya kwamba Aguero alikua anafanyiwa rotation mwanzo mwisho na nayalinganisha na yeye kupata kiatu cha dhahabu.
Unaanza kuonesha ni jinsi gani umejiandaa kubisha mkuu, unapoleta takwimu za Aguero kucheza game 257 unalinganisha na Jesus nakuona kitukoKwenye Premier League Jesus kacheza mechi 155 Aguero mechi 275.
Jesus kacheza CL 37 Aguero kacheza 79.
FA Jesus kacheza 20 na Aguero kacheza 22.
Efl Jesus kacheza 17 na Aguero kacheza 22.
Sasa nijibu wewe nani alikua second choice?
Najaribu kudigest maneno ya kwamba Aguero alikua anafanyiwa rotation mwanzo mwisho na nayalinganisha na yeye kupata kiatu cha dhahabu.
Simply means Aguero alitegemewa kabla Jesus hajaja na akategemewa hata alipofika.Mbona hizo stats ulizoweka ni kama Wameanza wote au mm sijaelewa?
Ok ni hivi.Unaanza kuonesha ni jinsi gani umejiandaa kubisha mkuu, unapoleta takwimu za Aguero kucheza game 257 unalinganisha na Jesus nakuona kituko
Angalia Aguero ameenda city mwaka gani na Jesus kaenda city mwaka gani, au unataka tujumlishe na mechi za Jesus tangu yupo Sao Paulo huko Brasil?
We ungefanya hivi, chukua idadi ya mechi tangia Jesus aje pale city mwaka 2016, na huo mwaka ndio alicheza game 10 Tu kwakuwa alikuwa bado hajazoea ligi, kwahiyo huo mwaka ni kweli alimkuta Aguero kama chaguo la Kwanza ila baada ya kuingia msimu uliofata Yani 2017/2018 kaangalie takwimu
Neuer anasajiliwa Bayern alikua anazomewa msimu mzima au nusu msimu.Kwan Arsenal wamekubali kutoa ?na hata wakitoa Kuna kitu bench wameona
Arteta toka msimu uliopita anamtaka Tammy , Kuna kitu ameona ndan yake ,
Mm ningeenda kwa Jesus na Nunez au Jesus na Schik ,
Ila kama anamtaka Tammy lazima tuheshimu maamuz yake ,
Sio kweli hapa unatudanganya ,hizi hapa stats zake za EplMechi ambazo Jesus anakaribiana na Aguero ni FA na Carabao. Why? Kwakua huko ndipo second choices hucheza.
Tatizo lenu nyie mnajiandaa kubisha Tu bila facts, Pep alishawahi kuwa na Aguero kwenye team yake, na Zama za Aguero hakuna striker alikuwa anamzidi uwezo pale England ata huyo KaneUnahisi why Pep alimtaka Kane na Jesus yupo wakati Aguero anaondoka?why tena now anamtaka Haaland na Jesus yupo?kwa nini ahangaike kutoa Mamilioni ya Paund wakati Jesus yupo?
Sina kumbukukumbu Neur alizomewa ,maana nakumbuka anasajiriwa tayari alikuwa na uwezo mkubwa ,,Neuer anasajiliwa Bayern alikua anazomewa msimu mzima au nusu msimu.
Kocha aliona potential akamsajili Neuer lakini mashabiki wakawa wanazomea.
Leo Neuer yuko wapi?
Yeye kocha kuona potential hainizuii shabiki kusema ninachoona na mimi naona Tammy hana ukali huo.
Tatizo lenu nyie mnajiandaa kubisha Tu bila facts, Pep alishawahi kuwa na Aguero kwenye team yake, na Zama za Aguero hakuna striker alikuwa anamzidi uwezo pale England ata huyo Kane
ila Pep akawa anamsugulisha benchi mfungaji Bora namba 3 wa muda wote katika ligi ya England na kumuanzisha Jesus, kwahiyo Kwa pep hoja sio ufungaji Tu, yeye anataka mfungaji ambae anaweza kucheza kama kiungo pia ndomana Kane ana namba kubwa za Assist
Kwahiyo kama wewe unadhani eti pep anataka mtu anaefunga magoli 40 Kwa msimu ujue unapotea mchana kweupeee, jamaa anaangalia wachezaji wanaofit katika system yake full stop, Pep anafuta Messi wa aina ingine, mchezaji ambae ataweza kufanya majukumu mawili Kwa usahihi, Kufunga na assist
Mkuu. Hii tafsiri yangu mbona kama ni nilivyosema awali na unairudia mara kwa mara?Kwa Mahojihano yake akiyofanya wewe unayaelewaje?
Arsenal technical director Edu has confirmed that he is 'excited' for the club's plans in the summer transfer window. The Gunners spent £150million on six new signings last summer as they became Europe's biggest spenders.
football.london understands that Manchester City forward Gabriel Jesus and Roma frontman Tammy Abraham are among the shortlisted profiles who could arrive at Emirates Stadium this summer. Jesus in particular remains open to leaving the current Premier League champions, with his representative holding talks with Edu throughout the past few months.
Former Chelsea forward Abraham has scored 15 goals in Italy this season and was previously the subject of enquiries from Arsenal in January. It's expected that the Gunners will focus on bringing in two marquee names this summer, although football.london understands that Edu has not ruled out bringing additional players in.
"The budget we used last summer, we prefer to use it to rebalance the squad, there was no point in hiring one or two players [in January], the squad was not prepared to absorb two players, we needed to rebalance the squad," Edu told ESPN Brasil. "Maybe next season we can go to one or two players.
"Today we find a much more balanced squad. Our planning has already been done, it has already reached the owners.
Nakumbuka kweli kipindi cha nyuma wakati anasajiliwa Partey lengo lilikuwa waje wote wawili ila bei ikawa kubwa so akaja partey peke yake. Na nakumbuka wewe ulisema tuliitaji AM kuliko DM na wengi tuliona hivyo maana timu ilikuwa haitengenezi nafasi na timu ilivyoanza kufanya vibaya kuna baadhi ya watu walianza kusema kwamba ina maana castr anaona mbali zaidi kuliko arteta na bench lake la ufundiHoja ipi vipi?
Tulihitaji AM akaja DM.
Nikaita usajili wa DM ni panic buy na utatusumbua kupata magoli ila atatusaidia ulinzi.
Na ikawa hivyo.
Hapo unataka hoja gani?



hakika kilikuwa kipindi kigumu kidogo.
Labda kama ww umesikia hivo, lkn hao wawili Ni Marquee names, lkn limit sio 2 tu, Fabrizio,Charles watt,Chris Wheatley wamesema , Sasa mm nimuwekee maneno gan ,alichoongea juz Ni kidogo tu kagusiaMkuu. Hii tafsiri yangu mbona kama ni nilivyosema awali na unairudia mara kwa mara?
'does not rule out...' na hii phrase ndiyo key hapa, tafsiri yake moja kwa moja haimaanishi anataka sajili zaidi ya moja au mbili. Rather inamaanisha anataka sajili moja au mbili baaas. Ikimlazimu, ataongeza. Hii ndiyo tafsiri ya statement yake kwetu sisi wasomaji wengine. Hatumwekei maneno mdomoni. Tunaenda na alichosema.
Nakudanganya na nini? Mimi nimetoa overall balance, msimu wa 19/ 20 Jesus alikabidhiwa mikoba mazima akashindwa deliver mechi 34 , means katika 38 hajacheza nne tu ila magoli alifunga 14.Sio kweli hapa unatudanganya ,hizi hapa stats zake za Epl
Mimi Pep kwangu ndio best manager ,na Super kwenye Rotation ,
View attachment 2202132
Sasa Aaron Arsenal anasema Tammy kwakua katakwa na kocha mimi ni nani nione hafai.Nakumbuka kweli kipindi cha nyuma wakati anasajiliwa Partey lengo lilikuwa waje wote wawili ila bei ikawa kubwa so akaja partey peke yake. Na nakumbuka wewe ulisema tuliitaji AM kuliko DM na wengi tuliona hivyo maana timu ilikuwa haitengenezi nafasi na timu ilivyoanza kufanya vibaya kuna baadhi ya watu walianza kusema kwamba ina maana castr anaona mbali zaidi kuliko arteta na bench lake la ufundihakika kilikuwa kipindi kigumu kidogo.
Ila baada ya muda nadhani tumekuja kuona kwanini arteta alianza na DM. Kwamba alijua Odegaard atakuja kuwa vzr na issue ya AM itakuwa solved na ndicho tunachokiona sasa kwani hakuna mtu anaongelea tena AM badala yake tunaongea CF.
Yote kwa yote kila mmoja anamtizamo wake na option zake na huo ndo mpira wenyewe kwamba kila mtu anaangalia kwa angle yake na kuona ni sahihi. Muhimu tuwe tunatoa sababu za tunachokiamini ili tupate fursa ya kufuatilia na kujifunza.
Sasa mbona unahama hoja yako ya second choice,Nakudanganya na nini? Mimi nimetoa overall balance, msimu wa 19/ 20 Jesus alikabidhiwa mikoba mazima akashindwa deliver mechi 34 , means katika 38 hajacheza nne tu ila magoli alifunga 14.
Aguero akacheza mechi 24 na akascore magoli 16.
Ndiyo 20/ 21 akatakiwa Kane. As Jesus alionyesha hawezi tegemewa na Aguero kashakua na miaka 32.
Mbona ww ndugu mkali hivo, ukipingwa kwa hoja unasema Mimi naongea maneno ya jikon mara na umilik arsenalSasa Aaron Arsenal anasema Tammy kwakua katakwa na kocha mimi ni nani nione hafai.
Hakuna namna tutalingana mawazo.
Mimi ni miongoni mwa wenye imani na Arteta ila hainizuii kutoa maoni. Alitakwa Lewin nikasema, Locatelli, Vlahovic n.k kwanini tumefika kwa Tammy Aaron anakua mkali anaandika maneno ya jikoni?
Kwamba ana umiliki na Arsenal sasa.
So Osimhen ana red hana?Sina kumbukukumbu Neur alizomewa ,maana nakumbuka anasajiriwa tayari alikuwa na uwezo mkubwa ,,
Hasa akiuonesha kwenye mech dhid ya man U wanapigwa 2-0 , alitakiwa na wengi , mwisho anaenda Bayern akiwa potential ,hakwenda kinyonge kama alivyokuja mfano Ramsadale,
Hiyo kuzomewa naisikia kwako Leo kama ipo sawa , maana hapa uliniambia Osmhen ana rekod za red card wakati,ana misimu miwili ana red 1