Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa Mahojihano yake akiyofanya wewe unayaelewaje?

Arsenal technical director Edu has confirmed that he is 'excited' for the club's plans in the summer transfer window. The Gunners spent £150million on six new signings last summer as they became Europe's biggest spenders.

football.london understands that Manchester City forward Gabriel Jesus and Roma frontman Tammy Abraham are among the shortlisted profiles who could arrive at Emirates Stadium this summer. Jesus in particular remains open to leaving the current Premier League champions, with his representative holding talks with Edu throughout the past few months.

Former Chelsea forward Abraham has scored 15 goals in Italy this season and was previously the subject of enquiries from Arsenal in January. It's expected that the Gunners will focus on bringing in two marquee names this summer, although football.london understands that Edu has not ruled out bringing additional players in.

"The budget we used last summer, we prefer to use it to rebalance the squad, there was no point in hiring one or two players [in January], the squad was not prepared to absorb two players, we needed to rebalance the squad," Edu told ESPN Brasil. "Maybe next season we can go to one or two players.

"Today we find a much more balanced squad. Our planning has already been done, it has already reached the owners.
Marquee names referred to above are the likes of Gabriel Jesus, Tony nk sio Mpabe, Neymar, Ronaldo na Halaand. Hawa (former) ndio marquee. Currently we are not in a position to attract marquee names. Baadae labda
 
Kwa nilivyomuelewa hizo Marquee names ni hao kina Nunez,Osmhen ambao price tag zao bila 70-80 Ngumu kuwapata
 
Msimu uliopoita Aguero hakuwa regular alicheza mech 12 za ligi
So kama Jesus angekua na delivery ya Aguero ilibidi yeye ndiyo akamate usukani. Ila Pep akamtaka Kane, Aguero akawa anatafuta pa kumaliza soka akaenda Barca. Aguero alidrop pengine umri au ndiyo akili inataka mwili hautaki ila akaondoka.

Leo City inamtaka Haaland, akija na Jesu akiwepo mambo yatakua kama kipindi Aguero yupo.

Atabaki kua wa pili kwa City.
 
Hata mm nimeshangaa maana kwa pep ni wachezaji wawili tu ndio naonaga wana uhakika wa namba ederson na rodri ,kwa mbali anafatia KDB wengine wote ni rotation tu, Tena hiyo false 9 ya pep , wanacheza wachezaji si chini ya watano , KDB, Foden, Sterling,Jesus, Silva

Hivo ni Ngumu kusema fulani ni First choice katika ST kwa pep ,
Kwahiyo Aguero alikua anakaa benchi?
 
So kama Jesus angekua na delivery ya Aguero ilibidi yeye ndiyo akamate usukani. Ila Pep akamtaka Kane, Aguero akawa anatafuta pa kumaliza soka akaenda Barca. Aguero alidrop pengine umri au ndiyo akili inataka mwili hautaki ila akaondoka.

Leo City inamtaka Haaland, akija na Jesu akiwepo mambo yatakua kama kipindi Aguero yupo.

Atabaki kua wa pili kwa City.
Hata Sasa bado Hakuna mwenye uhakika wa namba eneo la ST kwa city
 
kwenye sajili kuna kupatia na kukosea ,vzuri tunap onglea wachezaji tusi anglie names bali tuitizame zaid profile y mchezaji ,namna gn anav cheza na je itaendna na namna arteta anaeza mtumia kwnye structure y timu yake!

kocha nd anaejua nin anataka ,tuhifadh manen ,kama n hukumu aje kuipata baadae kw sajil atazofanya.

With all due respect mkuu naimani wewe ni Mwanaume....! Hebu andika kama mwanaume mkuu, Mambo gani haya unatuletea au ndio una haraka sana
Gani=gn
Ya=y
Ndio=nd
Maneno=manen
Ni=n

Unaandika kama vile mwanamke bana na sio mwanamke Tu bali msichana asiejitambua, au unaandika kama vile tupo enzi zile mitandao ya simu inakata vocha kulingana na wingi wa maneno utakayoandika

Najua nimetoka nje ya mada na kusema ukweli hayanihusu ila kama mwanaume mwenzio nimeona sio sawa kuacha hili Jambo
 
Hata mm nimeshangaa maana kwa pep ni wachezaji wawili tu ndio naonaga wana uhakika wa namba ederson na rodri ,kwa mbali anafatia KDB wengine wote ni rotation tu, Tena hiyo false 9 ya pep , wanacheza wachezaji si chini ya watano , KDB, Foden, Sterling,Jesus, Silva

Hivo ni Ngumu kusema fulani ni First choice katika ST kwa pep ,
Kwa misimu zaidi ya mitatu minne. Kikosi cha City ilikua Sterling humtoi pembeni, Aguero humtoi kati.

Mahrez na Silva watapokezana kulia.

Kevin na Rodri huwaachi nje. Sehemu ambayo kabadilisha sana mimi naona ni back line kuliko huko forward.

Forward zimeanza rotation baada ya Aguero kudrop na uwepo wa kina ferran na foden ila kabla hawa wengine ilikua ni kukutana nao Carabao.
 
Leo City inamtaka Haaland, akija na Jesu akiwepo mambo yatakua kama kipindi Aguero yupo.

Atabaki kua wa pili kwa City.
Hivi kama mfano Gabriel ni second choice bas hatakiwi kusajiriwa Arsenal?

Mm kwangu Gabriel anatufaa maana kama nafas tunatengeneza sana , tofaut na kipind Cha nyuma, pia atatusaidia hata nafas za pembeni , michuano inapokuwa mingi ,
 
Baada ya kuondoka Aguero nan ni first choice , ndio hoja ya jamaa nilivyomuelewa , Jesus ana traits za kucheza namba zote pale mbele ,
Mbona mnafanya spinning? Mwenye namba aliondoka na amestaafu.

Wakati yupo Jesus alikua analamba benchi.

Na kwakua output ya Jesus bado ni ndogo ndiyo maana City inataka ST, ilimtaka Kane ikamkosa na sasa inamtaka Haaland.

Haaland akija na Jesus bado yupo anaweza jikuta anaendelea kua second choice kama kipindi cha Aguero.

Wapi hamuelewi?
 
So Arsenal wanawataka Tammy na Jesus wote au mimi ndo sielewi? Tammy ni mchezaji mzuri ila bei yake imechangamka kidogo, €80m si mchezo.
 
Kwahiyo kwa hoja hizo hafai kusajiriwa Arsenal ?
 
Hivi kama mfano Gabriel ni second choice bas hatakiwi kusajiriwa Arsenal?

Mm kwangu Gabriel anatufaa maana kama nafas tunatengeneza sana , tofaut na kipind Cha nyuma, pia atatusaidia hata nafas za pembeni , michuano inapokuwa mingi ,
Umeanza na spinning.

Hapa tunaongelea kusajiliwa au yeye kua second choice?

Ukiniuliza mimi kama Jesus anafaa jibu ni ndiyo. Ukiniuliza kama tunatakiwa kutoa pesa nyingi jibu ni hapana.

Odegaard hakua na namba Madrid. Amezunguka sana kwa mikopo ingekua hoja ya second choice ni kigezo cha mimi kusema mchezaji hatakiwi ilibidi awemo na Odegaard. Lakini hiyo siyo hoja ya kuhalalisha kumkataa mchezaji
 
So Arsenal wanawataka Tammy na Jesus wote au mimi ndo sielewi? Tammy ni mchezaji mzuri ila bei yake imechangamka kidogo, €80m si mchezo.
Arteta anataka washambuliaji wawili

Anaondoka Laca ,Nketiah , auba tyr

Washambuliaji wawili lazima waje
 
Umeanza na spinning.

Hapa tunaongelea kusajiliwa au yeye kua second choice?

Ukiniuliza mimi kama Jesus anafaa jibu ni ndiyo. Ukiniuliza kama tunatakiwa kutoa pesa nyingi jibu ni hapana.

Odegaard hakua na namba Madrid. Amezunguka sana kwa mikopo ingekua hoja ya second choice ni kigezo cha mimi kusema mchezaji hatakiwi ilibidi awemo na Odegaard. Lakini hiyo siyo hoja ya kuhalalisha kumkataa mchezaji
Sasa €30-35m kwa Jesus ,umri miaka 25 ,anacheza nafas 3 pale mbele

Ni pesa nyingi?
 
Pep anaangalia matokeo sio takwimu , Jesus sio Kariba ya Aguero ,

City haina ST wa kudumu ,karibu mwaka wa pili huu Sasa,
Hebu nielewe.

Nimekuambia City ina Jesus ila hana output wanayoitaka ndiyo akatakiwa Kane.

Wakamkosa.

Sasa hivi wanamtaka Haaland.

Ther reason wanamtaka Haaland ni kwakua Jesus anaonekana hana output kubwa.

Hivyo kutokana na hilo ndiyo maana inafanyika sana rotation ya forward.

Mbona naandika lugha nyepesi. Wapi nakuchanganya?
 
Back
Top Bottom