Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

anakua mkali anaandika maneno ya jikoni?
Unaweza kuonesha mahali nimekuwa mkali au kuleta maneno ya jikon?

Zaidi ya wewe ndiye unanishambulia mm na sio hoja,

Mm nilishaacha kushambulia watu na sio fact, mm nipo humu nadhan kabla yako ,tulikuwa na utoto mwingi
 
So Osimhen ana red hana?

Wewe kutojua kama Neuer alizomewa haimaanishi kwamba hakuzomewa. Ni ama utafute ukweli au upokee kama nilivyoandika.

United ilimtaka pia Neuer hiyo 2011. Ila akaopt Bayern na mashabiki wakajipanga kwenda kuzomea bodi ikawaambia mashabiki waache kumzomea na wamheshimu.

Mashabiki wakaingia na mabango yaliyoandikwa 'No Neuer'
Sasa huoni unatudanganya unapodai Osmhen hafai kisa ana rekod mbaya za red card , wakat mtu sijui kwenye career yake ana red 2 tu ,huon unatudanganya ?

Mm kuhusu neur kuzomewa nimeomba ushahidi , maana nakumbuka alikuwa potential kubwa sana kipind hicho

Sijabisha nahitaji fact , ukiulizwa hivi unakimbilia nimejibu maneno ya jikon

Sasa unamuhukumu Osmhen kwa red 1 ? Hi Ni fact kweli?
 
Mbona ww ndugu mkali hivo, ukipingwa kwa hoja unasema Mimi naongea maneno ya jikon mara na umilik arsenal

Wapi nimeongea shit , hebu shambulia hoja sio Mimi,

Umeanza kutudanganya kuanzia kwa Osmhen asije kisa ana red nying, mara Jesus Ni second choice , umekuwa ukijibiwa kwa fact , unasema maneno ya jikon

Mara tuna umilik na Arsenal

Hakuna anayekubaliana na Kila sajiri ,Hilo sio tatizo, ila jifunze kuheshimu taaluma za watu,

Uliwahi kusema humu Odegaard sio AM , ulimkataa Ramsadale bila hata fact

Ila ukijibiwa unasema una attack mtu ,
Bro nunua miwani uwe unasoma kitu kizima.

Na ni ukweli Odegaard siyo AM unadhani nikiandika kitu nabahatisha? Narudia tena Odegaard siyo AM isipokua anaweza kucheza hiyo nafasi vizuri na akadeliver yaani ni kwamba akisajiliwa AM proven usishangae Odegaard akarudi kua RW.

Ramsdale sijawahi kumkataa unapenda sana kuandika hivi mpaka ukasema utatafuta nilipoandika utaleta. Nilichoandika kuhusu Ramsdale ni kwamba jamaa siyo shot stopper kumzidi Leno. Hutaki lia.

Hoja gani umeleta juu ya Tammy zaidi ya kusema ni uamuzi wa kocha uheshimiwe?

Osimhen ana red nakumbuka moja aliipata Europa sikumbuki nyingine kaitoa wapi but regardless nidhamu ipo low.

Mimi nimesema unaandika maneno ya jikoni kwa ile sentensi yako ya kuniuliza mimi ni nani namuona Tammy hafai.

Jesus ni second choice ndiyo kwani ni uongo? Kwanini alitafutwa Kane na sasa Haaland? Mbona vitu vingine ni logic ya kawaida tu.
 
Sasa huoni unatudanganya unapodai Osmhen hafai kisa ana rekod mbaya za red card , wakat mtu sijui kwenye career yake ana red 2 tu ,huon unatudanganya ?

Mm kuhusu neur kuzomewa nimeomba ushahidi , maana nakumbuka alikuwa potential kubwa sana kipind hicho

Sijabisha nahitaji fact , ukiulizwa hivi unakimbilia nimejibu maneno ya jikon

Sasa unamuhukumu Osmhen kwa red 1 ? Hi Ni fact kweli?
Mwanzo ulisema Osimhen ana red moja. Naona idadi inapanda.
 
Labda kama ww umesikia hivo, lkn hao wawili Ni Marquee names, lkn limit sio 2 tu, Fabrizio,Charles watt,Chris Wheatley wamesema , Sasa mm nimuwekee maneno gan ,alichoongea juz Ni kidogo tu kagusia

Jaribu kutembelea vyanzo vya kuaminika uone
ok
 
Nilikuomba ushahidi wa fact tu, unapanik
Bro kuna vitu vipo tu kwenye ulimwengu wa mpira.

Yaani tunakua tunajua kua fulani hakukubalika mwanzo mfano Ferguson hakukubalika united mwanzoni au kikosi chake kuitwa kikosi cha wavulana yaani ni knowledge ambayo ipo tu.

Ni kama Neuer kuzomewa ni knowledge ipo tu ukigoogle utakuta wanaelezea kwa undani kwanini alikua anazomewa.
 
Unaweza kuonesha mahali nimekuwa mkali au kuleta maneno ya jikon?

Zaidi ya wewe ndiye unanishambulia mm na sio hoja,

Mm nilishaacha kushambulia watu na sio fact, mm nipo humu nadhan kabla yako ,tulikuwa na utoto mwingi
Kama unamaanisha kuja humu na kukesha kwenye jukwaa of coz upo kabla yangu ila tukiongelea kuingia hili jukwaa na kuandika kitu.

Basi jikumbushe vizuri maana hata kua member wa JF overall bado nakuacha
 
Bro kuna vitu vipo tu kwenye ulimwengu wa mpira.

Yaani tunakua tunajua kua fulani hakukubalika mwanzo mfano Ferguson hakukubalika united mwanzoni au kikosi chake kuitwa kikosi cha wavulana yaani ni knowledge ambayo ipo tu.

Ni kama Neuer kuzomewa ni knowledge ipo tu ukigoogle utakuta wanaelezea kwa undani kwanini alikua anazomewa.
Ok
 
Kwenye hili jukwaa me kuna watu nimekuwa nikiwapa Heshima wanazostahili kutokana na michango yao na ukongwe katika team

Miongoni mwa watu ambao ninaweza kusema mbele ya watu kuwa ninawapa Heshima yangu ya dhati humu ni bwana Castr

Nimemkuta humu kabla yangu ila pia amekuwa akitoa ufafanuzi juu ya Mambo mengi sana kuhusu Arsenal na ata mpira wenyewe, ila kuna kitu naona hakipo sawa kwake, ameanza kuwa mbishaji Tu bila facts au hoja zenye mashiko tofauti na zamani

Kuna muda namsoma alafu nasema hivi huyu anaechangia siku hizi sio yeye nini? Labda castr mwenyewe original kagawa account maana ni kama vile watu wawili tofauti kabisa

Mie nilizoea kumsoma castr ambae anapinga hoja Kwa hoja, alikuwa hapanick bali anakupa facts wewe ndio upambane nazo, anaongelea mpira wenyewe na sio hisia ila huyu wa Leo nashindwa kabisa kumweka katika kundi lipi
 
Swali kwenu gunners. Tunamtaka jesus. Je ni sahihi au la na kwa sababu zipi? Mie kwa haraka haraka nitasema nahisi anawazidi nketiah na laca. Hiyo inatosha?

Je tammy abraham tunamtaka kwa sababu gani za msingi(?
 
Ngoja nikujibu.

Mimi nimekua naangalia almost kila mechi kwa EPL na baadhi kwa ligi zingine siyo ya Arsenal pekee bali hata ya vilabu vingine hii ina/ ime/ ili/ pelekea nikiwa namtaja mchezaji na kusema sifa zake sizisemi kwakua nimesoma mtandaoni takwimu hua nazisema kwa nilichoona.

Mara chache hua narely kwenye stats ila mara nyingi hua naandika ambacho nimekiona.

Na kwa nilichoona kwa Tammy akiwa Chelsea mimi naona nipo sawa ninaposema hafai Arsenal na price tag yake ni balaa jingine. Kwa Lewin nilisema hafai pia na sababu niliyowahi kusema hivyo ni kwakua hawa wawili ikatokea mmepigwa low block basi ujue siku hiyo hampati kitu kutoka kwao.

Pia wote ni wazito hawana pace wakati siku hizi tunataka ST anayeweza kuja katikati tukaenda naye goli la mpinzani huku wote tukiwa speed.

Kwa Roma Tammy amekua mzuri. Ila hii ni sawa na Lukaku kwa inter alikua mzuri, 90 Million later anasugua benchi. Kwanini utumie 80M sasa ikiwa hii pesa inakupa Nunez?

Tuje kwa Gabriel. Yeye alikua anasubiri mbele ya Aguero msimu ambao kacheza mechi nyingi zaidi EPL wa 19/20 hakuonyesha improvement kubwa hii ikapelekea atakiwe Kane na sasa anatakiwa Haaland. Huu msimu alifunga magoli 14 na Aguero alifunga 16, Aguero kacheza mechi 24 kwa idadi hii inamanisha ama walikua wanapishana au at one point wote wawili walikua uwanjani.

Na je wote wawili walipokua uwanjani nani alikaa ST?

Kwanini nionekane sipo sahihi kusema huyu ni second choice? Swali la msingi ni 'Je tunamhitaji?' jibu langu ni 'Ndiyo' 'Kwa price ya juu?' jibu langu ni 'Hapana'.
 
Swali kwenu gunners. Tunamtaka jesus. Je ni sahihi au la na kwa sababu zipi? Mie kwa haraka haraka nitasema nahisi anawazidi nketiah na laca. Hiyo inatosha?

Je tammy abraham tunamtaka kwa sababu gani za msingi(?
Labda kwakua mrefu awe anafunga sana magoli ya vichwa
 
Tatizo lenu nyie mnajiandaa kubisha Tu bila facts, Pep alishawahi kuwa na Aguero kwenye team yake, na Zama za Aguero hakuna striker alikuwa anamzidi uwezo pale England ata huyo Kane

ila Pep akawa anamsugulisha benchi mfungaji Bora namba 3 wa muda wote katika ligi ya England na kumuanzisha Jesus, kwahiyo Kwa pep hoja sio ufungaji Tu, yeye anataka mfungaji ambae anaweza kucheza kama kiungo pia ndomana Kane ana namba kubwa za Assist

Kwahiyo kama wewe unadhani eti pep anataka mtu anaefunga magoli 40 Kwa msimu ujue unapotea mchana kweupeee, jamaa anaangalia wachezaji wanaofit katika system yake full stop, Pep anafuta Messi wa aina ingine, mchezaji ambae ataweza kufanya majukumu mawili Kwa usahihi, Kufunga na assist
Hujajibu swali umezunguka mbuyu jibu swali langu Why Pep anamtaka Halaand wakati ana JESUS?HILI NDIO SWALI LANGU
 
Narudia tena Odegaard siyo AM isipokua anaweza kucheza hiyo nafasi vizuri na akadeliver yaani ni kwamba akisajiliwa AM proven
Lin ulimuona Odegaard happy arsenal alicheza RW?

Smith Rowe ndio mwenye sifa au profile za RW,na AM au false 9 kwa mujibu wa Kocha

Arteta alimsajiri Odegaard kama AM,, kinachofanyika wanaongezwa wengine tu ili acheze 4-3-3 complete

Niliwahi kukwambia hapa Arteta now hachez 4-2-3-1 ukanibishia , on paper unaoneshwa 4-2-3-1 ,uwanjani ikawa tofaut

Sasa unasema Odegaard sio AM wakat Arteta amemsajiri kwa hiyo role , ila unataka tu kufa na tai shingoni

Tujifunze kukubaliana hata kama Jambo lipo tofaut na mtazamo wako
 
Mie nilizoea kumsoma castr ambae anapinga hoja Kwa hoja, alikuwa hapanick bali anakupa facts wewe ndio upambane nazo, anaongelea mpira wenyewe na sio hisia ila huyu wa Leo nashindwa kabisa kumweka katika kundi lipi
Huyu niliwahi kumwambia hapa Arteta ameachana na 4-2-3-1 na Sasa anatumia 4-3-3 yenye double 8 , akanibishia bila fact kisa tu liverscore wameweka hivo

Now anadai Osmhen Ni mtovu wa nidhamu kwa red 1,
 
Kama unamaanisha kuja humu na kukesha kwenye jukwaa of coz upo kabla yangu ila tukiongelea kuingia hili jukwaa na kuandika kitu.

Basi jikumbushe vizuri maana hata kua member wa JF overall bado nakuacha
Mm sikeshi humu,ndio maana nakushangaa unasema mara nilijipiga ban, nipo humu kitambo na ID yangu ilipata shida ,
 
Swali kwenu gunners. Tunamtaka jesus. Je ni sahihi au la na kwa sababu zipi? Mie kwa haraka haraka nitasema nahisi anawazidi nketiah na laca. Hiyo inatosha?

Je tammy abraham tunamtaka kwa sababu gani za msingi(?
Anayemtaka ni mwalimu na anamkubali
 
Kuhusu Jesus
Tuna muhitaji :
ikiwa price 30-35, umri, experience, anacheza kama 9, wings,

Hatumuhitaji:
price greater than 36 (matumiz mabaya ya pesa)

Ikitokea Jesus anatua arsenal, hatutaishia hapo, lazima atafutwe 9 nyinginge
Kumbuka Ed, laca, wanaondoka. Auba ndio hatunae tena

Jesus anaweza kuwa bora kuliko alivyokua city
Pata reference kwa SALAH au De brune flop walizopitia

Kane/Haland wanaweza kuwa wabovu kama ilivyo kwa Hazard, Shevchenko

Mpira upo hivyo. Cha msingi ni kuangalia kocha kaona nini kwa Jesus

Tammy ntakuja kumuelezea baadae
 
Back
Top Bottom