Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arteta anataka washambuliaji wawili

Anaondoka Laca ,Nketiah , auba tyr

Washambuliaji wawili lazima waje
Hata Edu kusema watasajili mchezaji mmoja/ wawili alimaanisha mchezaji mkubwa, Ukiangalia Saka anahitaji backup, Tomiyasu anahitaji backup, bado kuna CM & CF wanatakiwa, inafurahisha akisema tunasajili mchezaji mmoja au wawili.
 
Ther reason wanamtaka Haaland ni kwakua Jesus anaonekana hana output kubwa.

Hivyo kutokana na hilo ndiyo maana inafanyika sana rotation ya forward.
Kwan Kuna mtu kasema Jesus ana output kubwa kuliko kina halaand ?

Hoja hapa ni ujio wa Jesus , wapo wahafidhina wanapinga ,

Juzi akatia kamba 4 na 1 assist in 1 game,
 
Hata Edu kusema watasajili mchezaji mmoja/ wawili alimaanisha mchezaji mkubwa, Ukiangalia Saka anahitaji backup, Tomiyasu anahitaji backup, bado kuna CM & CF wanatakiwa, inafurahisha akisema tunasajili mchezaji mmoja au wawili.
Ni zile za pesa kubwa ,lkn sio kweli kwamba Wachezaji wazur wote ni being kubwa

Mfano Tieleman ni 25-30 , Neves hazid 40, Coady Gapko hawez zid 30

Backup ya LB jina lilikuwa Livermento , bahat mbaya Jana kaumia atakuwa nje miez 8-9

Kuna dogo LB alitolewa mkopo amefanya vzr na mashabik wanaomba arudishwe asaidiane na kina Tomiyasu ,Ben white
 
Alikua Aguero sijajua umeanza lini kufuatilia mpira ila City hiyo namba ya Jesus ilikua ya mchezaji anaitwa Aguero.

Baada ya Aguero kuondoka Pep akasema anahitaji striker (Huku Jesus yupo) na akawa anamtaka Kane. Na ndicho kipindi hicho akaanza hizo rotations za mara kamuweka Ferran, Phoden, Sterling na huku Jesus yupo benchi.

Kwahiyo wewe umeanza kuiona City baada ya Aguero kuondoka ndiyo ukawa unaona hizo rotation ila wakati Aguero yupo namba ilikua ya Aguero na Jesus alikua second choice.

Msimu huu City inamtaka Haaland na Jesus ndiyo kaamua kuondoka as ataendelea kua second choice
Mkuu me naweza nikawa sijaanza kufatilia mpira siku nyingi sana labda kama wewe ila Kwa kiasi changu nimejitahidi sana

Man city team ya Juzi tu hapa ndio kila mtu akaanza kuifatilia kwahiyo almost kila shabiki wa mpira anajua kilichokuwa kinatokea city kabla na ata baada ya kuja pep

Kwa kuweka kumbukumbu Sawa, pep hajawahi kuwa na first choice striker tangu atue city, unamuongelea Aguero kama mchezaji ambae pale alikuwa ni legend ila Kwa pep alikuwa ni kama mchezaji mwingine Tu

Aguero kwa pep kasugua sana benchi hadi sie wengine tulikuwa tunaumia moyoni Kwa nini pep anamfanyia hivo Kun, game kibao alikuwa anaanza Jesus na Aguero anaanzia benchi,

Nakupa takwimu za hawa wachezaji wawili wakati wanacheza pamoja alafu unambie Kwa maoni yako unaona Nani alikuwa first choice Kati Yao, ila takwimu zinaonesha ni kwamba hakukuwa na first choice Kati yao

Aguero
2020/2021 games 12
2019/2020 games 24
2018/2019 games 33
2017/2018 games 25
2016/2017 games 30

Jesus
2020/2021 games 29
2019/2020 games 34
2018/2019 games 29
2017/2018 games 29
2016/217 games 10

Na mind you msimu wa 2016 ndio alinunuliwa Jesus pale city, kutokana na ugeni wa ligi na utoto aliokuwa nao ndomana akacheza game 10, point ni kwamba chini ya pep pale city hakuna striker first choice bro, maana ye mwenyewe kuna muda anawachezesha kama mawinga/viungo
 
Hata Edu kusema watasajili mchezaji mmoja/ wawili alimaanisha mchezaji mkubwa, Ukiangalia Saka anahitaji backup, Tomiyasu anahitaji backup, bado kuna CM & CF wanatakiwa, inafurahisha akisema tunasajili mchezaji mmoja au wawili.
Big signing ya hela kubwa toka January inaonekana ipo kwa ST , nafas nyingine no 30-50 tu, Tieleman ,Neves , Aouar, Gapko, ndio bei zao

Richarlson akishuka daraja na Everton , bei yake haitazid 50

Arsenal are prepared to make an offer for 24 year old RB Nahuel Molina of Udinese Arsenal, la carta per Molina potrebbe essere Pablo Marì: le ultime

Southampton full-back Tino Livramento expected to miss 8-9 months of action after sustaining suspected ACL damage in 2-2 draw at Brighton. First called by @AdrianJKajumba. Arsenal had been monitoring his progress closely but any summer move now off cards. #SaintsFC #AFC

.@David_Ornstein: 'Edu and Gabriel Jesus' reps have been talking for a number of months to the extent that, that part of the negotiations is pretty much done and dusted. He is the profile of striker Mikel arteta is looking to bring in. I think they want to bring in two forwards.'

Arsenal are reportedly in talks with Tielemans, Jesus and hold a strong interest in Livramento.
Tielemans - £25m (Final year of contract)
Jesus - £30m (Final year of contract)
Livramento - £30m?

Probably another £90m available for CF, CM and LB/CB.
 
With all due respect mkuu naimani wewe ni Mwanaume....! Hebu andika kama mwanaume mkuu, Mambo gani haya unatuletea au ndio una haraka sana
Gani=gn
Ya=y
Ndio=nd
Maneno=manen
Ni=n

Unaandika kama vile mwanamke bana na sio mwanamke Tu bali msichana asiejitambua, au unaandika kama vile tupo enzi zile mitandao ya simu inakata vocha kulingana na wingi wa maneno utakayoandika

Najua nimetoka nje ya mada na kusema ukweli hayanihusu ila kama mwanaume mwenzio nimeona sio sawa kuacha hili Jambo

chilax!
 
Mkuu me naweza nikawa sijaanza kufatilia mpira siku nyingi sana labda kama wewe ila Kwa kiasi changu nimejitahidi sana

Man city team ya Juzi tu hapa ndio kila mtu akaanza kuifatilia kwahiyo almost kila shabiki wa mpira anajua kilichokuwa kinatokea city kabla na ata baada ya kuja pep

Kwa kuweka kumbukumbu Sawa, pep hajawahi kuwa na first choice striker tangu atue city, unamuongelea Aguero kama mchezaji ambae pale alikuwa ni legend ila Kwa pep alikuwa ni kama mchezaji mwingine Tu

Aguero kwa pep kasugua sana benchi hadi sie wengine tulikuwa tunaumia moyoni Kwa nini pep anamfanyia hivo Kun, game kibao alikuwa anaanza Jesus na Aguero anaanzia benchi,

Nakupa takwimu za hawa wachezaji wawili wakati wanacheza pamoja alafu unambie Kwa maoni yako unaona Nani alikuwa first choice Kati Yao, ila takwimu zinaonesha ni kwamba hakukuwa na first choice Kati yao

Aguero
2020/2021 games 12
2019/2020 games 24
2018/2019 games 33
2017/2018 games 25
2016/2017 games 30

Jesus
2020/2021 games 29
2019/2020 games 34
2018/2019 games 29
2017/2018 games 29
2016/217 games 10

Na mind you msimu wa 2016 ndio alinunuliwa Jesus pale city, kutokana na ugeni wa ligi na utoto aliokuwa nao ndomana akacheza game 10, point ni kwamba chini ya pep pale city hakuna striker first choice bro, maana ye mwenyewe kuna muda anawachezesha kama mawinga/viungo
Ndio maana nampenda Pep na Klopp hawapend kuwa na staa kwenye timu anayejiona mkubwa kuliko wengine ,Arteta anaiga kwa Pep, yupo tayari afungwe ila sio wewe unayejifanya staa uwapande kichwan .Ni wakatili mno

Same to Klopp Hana staa kwenye timu,

Pep had Sasa nimeona ni rodri na Kila tu ndio wenye uhakika wa namba

Yule jamaa ana rotation ya kiwango Cha Sgr ,

Halafu kumbe huwa Hana kikos kikubwa sana, ni wachezaji wachache tu ila wanacheza nafas nyingi ,unakuta Bernano anacheza LCM,RCM ,AM, LW,RW,CF kama false 9
 
Mkuu me naweza nikawa sijaanza kufatilia mpira siku nyingi sana labda kama wewe ila Kwa kiasi changu nimejitahidi sana

Man city team ya Juzi tu hapa ndio kila mtu akaanza kuifatilia kwahiyo almost kila shabiki wa mpira anajua kilichokuwa kinatokea city kabla na ata baada ya kuja pep

Kwa kuweka kumbukumbu Sawa, pep hajawahi kuwa na first choice striker tangu atue city, unamuongelea Aguero kama mchezaji ambae pale alikuwa ni legend ila Kwa pep alikuwa ni kama mchezaji mwingine Tu

Aguero kwa pep kasugua sana benchi hadi sie wengine tulikuwa tunaumia moyoni Kwa nini pep anamfanyia hivo Kun, game kibao alikuwa anaanza Jesus na Aguero anaanzia benchi,

Nakupa takwimu za hawa wachezaji wawili wakati wanacheza pamoja alafu unambie Kwa maoni yako unaona Nani alikuwa first choice Kati Yao, ila takwimu zinaonesha ni kwamba hakukuwa na first choice Kati yao

Aguero
2020/2021 games 12
2019/2020 games 24
2018/2019 games 33
2017/2018 games 25
2016/2017 games 30

Jesus
2020/2021 games 29
2019/2020 games 34
2018/2019 games 29
2017/2018 games 29
2016/217 games 10

Na mind you msimu wa 2016 ndio alinunuliwa Jesus pale city, kutokana na ugeni wa ligi na utoto aliokuwa nao ndomana akacheza game 10, point ni kwamba chini ya pep pale city hakuna striker first choice bro, maana ye mwenyewe kuna muda anawachezesha kama mawinga/viungo
Kwenye Premier League Jesus kacheza mechi 155 Aguero mechi 275.

Jesus kacheza CL 37 Aguero kacheza 79.

FA Jesus kacheza 20 na Aguero kacheza 22.

Efl Jesus kacheza 17 na Aguero kacheza 22.

Sasa nijibu wewe nani alikua second choice?

Najaribu kudigest maneno ya kwamba Aguero alikua anafanyiwa rotation mwanzo mwisho na nayalinganisha na yeye kupata kiatu cha dhahabu.
 
Halafu acha kujibu vipande vinavyostroke ego yako. Nimekuambia kwamba Arsenal inahitaji big signings nne, siyo mbili au moja kama unavyokubaliana na Edu.
Wewe big signing kwako ni Wachezaji wazuri ila unasahau Kuna factors kibao ,Kuna wanaomaliza mikataba yao au wamebakiza mwaka mmoja ni wazuri na wanapatikana kwa bei nzuri

Kwa mujibu wa Edu amemaanisha kabisa ni Zile za kutoa pesa ndefu,

Maana kama wachezaji wazuri wanatajwa kuja wapo tena wanna being ya kawaida tu, Tieleman ,Neves ,Gapko , n.k

Awali ulidai sajiri zitakuwa 2 tu nikakueleza hizo ni big signing za hela ndefu, na hao ni kama Nunez bila 70-80 humpati, hata Tammy Roma wanamsaminisha had 70 ,
 
Kwenye Premier League Jesus kacheza mechi 155 Aguero mechi 275.

Jesus kacheza CL 37 Aguero kacheza 79.

FA Jesus kacheza 20 na Aguero kacheza 22.

Efl Jesus kacheza 17 na Aguero kacheza 22.

Sasa nijibu wewe nani alikua second choice?

Najaribu kudigest maneno ya kwamba Aguero alikua anafanyiwa rotation mwanzo mwisho na nayalinganisha na yeye kupata kiatu cha dhahabu.
Naomba kuuliza Kwan Aguero amekuja Sawa na Jesus?
 
Kwan Kuna mtu kasema Jesus ana output kubwa kuliko kina halaand ?

Hoja hapa ni ujio wa Jesus , wapo wahafidhina wanapinga ,

Juzi akatia kamba 4 na 1 assist in 1 game,
Haya magoli na assist kwangu siyo ishu sana. Ishu ni kwamba kwa tulipo anaweza kutuokoa.
 
Wewe big signing kwako ni Wachezaji wazuri ila unasahau Kuna factors kibao ,Kuna wanaomaliza mikataba yao au wamebakiza mwaka mmoja ni wazuri na wanapatikana kwa bei nzuri

Kwa mujibu wa Edu amemaanisha kabisa ni Zile za kutoa pesa ndefu,

Maana kama wachezaji wazuri wanatajwa kuja wapo tena wanna being ya kawaida tu, Tieleman ,Neves ,Gapko , n.k

Awali ulidai sajiri zitakuwa 2 tu nikakueleza hizo ni big signing za hela ndefu, na hao ni kama Nunez bila 70-80 humpati, hata Tammy Roma wanamsaminisha had 70 ,
Sasa wewe 70M kwa Tammy unaona sawa? Mwaka jana tulihusishwa naye kabla hajaenda Roma nikasema kama una hamu na Tammy ni bora umpe namba Balogun na Martinelli
 
kwenye sajili kuna kupatia na kukosea ,vzuri tunap onglea wachezaji tusi anglie names bali tuitizame zaid profile y mchezaji ,namna gn anav cheza na je itaendna na namna arteta anaeza mtumia kwnye structure y timu yake!

kocha nd anaejua nin anataka ,tuhifadh manen ,kama n hukumu aje kuipata baadae kw sajil atazofanya.
Hili Jambo la kuanza kuangalia profile na structure ya timu ndilo wenzetu man u wameamua waanze nalo msimu ujao
 
So kama Jesus angekua na delivery ya Aguero ilibidi yeye ndiyo akamate usukani. Ila Pep akamtaka Kane, Aguero akawa anatafuta pa kumaliza soka akaenda Barca. Aguero alidrop pengine umri au ndiyo akili inataka mwili hautaki ila akaondoka.

Leo City inamtaka Haaland, akija na Jesu akiwepo mambo yatakua kama kipindi Aguero yupo.

Atabaki kua wa pili kwa City.
FACT hili ndo nalisema tunapenda wachezaji wa mitumba frequently
 
Baada ya kuondoka Aguero nan ni first choice , ndio hoja ya jamaa nilivyomuelewa , Jesus ana traits za kucheza namba zote pale mbele ,
Hoja yangu Mie ni kupinga kuwa Jesus sio second choice, Kwa uwezo wa Aguero kama pep angeamua kumtumia Jesus kama second choice wala ata nisingelaumu maana kun ni habari ingine ila hilo halikutokea kwahiyo siwezi kukubali kumuita Jesus second choice ilhali takwimu zinakataa

Msimu wa 2017/2018 ambapo Mo Salah akachukua ufungaji Bora, pep alikuwa anamtumia zaidi Jesus badala ya Aguero kutokana na uwezo wake wa kucheza pembeni, ila Aguero akawa hawezi kutokea pembeni anapata tabu kufanya link up na wenzie, huo msimu pep akapewa sana lawama juu ya matumizi mabaya ya mchezaji kama Aguero

Ulipoingi msimu wa 2018/2019 watu wakajua pep atakuwa kajifunza ila wapi Aguero akaendelea kupokezana Namba na Jesus, ila jamaa alikuwa mara kibao akitokea bechi anaweka, Hadi kukawa na uvumi kuwa pep alikuwa na ugomvi na Aguero, huu msimu Aguero alimaliza nyuma ya kina Auba ye akiwa na goal 21

Kwahiyo jamaa hoja yake ya kusema kuwa Jesus alikuwa second choice haina mashiko na wala sio kweli maana pep amewapiga sana rotation, ye angesema kuwa Jesus alikuwa second best baada ya Aguero hapo ningemuelewa
 
Sasa wewe 70M kwa Tammy unaona sawa? Mwaka jana tulihusishwa naye kabla hajaenda Roma nikasema kama una hamu na Tammy ni bora umpe namba Balogun na Martinelli
Kwan Arsenal wamekubali kutoa ?na hata wakitoa Kuna kitu bench wameona

Arteta toka msimu uliopita anamtaka Tammy , Kuna kitu ameona ndan yake ,

Mm ningeenda kwa Jesus na Nunez au Jesus na Schik ,

Ila kama anamtaka Tammy lazima tuheshimu maamuz yake ,
 
Back
Top Bottom