Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,530
- 9,639
kwahiyo wasingenunuliwa tuu?Unaachana na Nkunku unaenda kwa Jesus Recruitment ya Arsenal ina big problem kwa kweli that's why wachezaji wengi wananunuliwa but performance zero au unakuta wengi wanakuwa majeruhi majeruhi mechi 3 atacheza mechi 3 hospital [emoji541] anatibiwa Tierney Partey hawa ni players wazuri sana but wanaicost sana team hawawezi cheza 10 games mfululizo bila kwenda hospital [emoji541] na Tomiyasu napata nae shaka pia anaweza akajiunga na hawa watu