Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Gunners wote, gaffer Arteta anazidi kusisitiza mshikamano. Iwe tumeshindwa, draw au kushinda. #trusttheprocess people.
Next? Spuds. Yes spuds, nao tunawatoa show, tena zaidi….
C O Y G
 
hivi hakuna namna ya moderator kutugea button za kuban watu hao jamaa wamenikera sana kwann wanatukanana hao sio mashabiki walio komaa yaan ni ujinga kwann tudibishane kwa hoja?

nimekwazika sana na mambo hayo acheni kabisa kama mtu hana hoja aseme asaidiwe ila sio matusi
 
hivi hakuna namna ya moderator kutugea button za kuban watu hao jamaa wamenikera sana kwann wanatukanana hao sio mashabiki walio komaa yaan ni ujinga kwann tudibishane kwa hoja?

nimekwazika sana na mambo hayo acheni kabisa kama mtu hana hoja aseme asaidiwe ila sio matusi
piga ignore button kwa mtu anaetukana tukana hutoona post zake kbs
 
Ok my question naona umekimbia hili why Guardiola anatoa Mamilioni ya Paund kwa ajili ya Haaland?wakati ana JESUS?uliyoyasema sijakataa but why ana spend more than 100M Paund wakati JESUS yupo ?why?

For example Kane angekuwa amepatikana last season Manchester City unafikiri Pep angetoa more than 100 M paund?this season?no nway sitaki kubelieve hili
Ndugu , upo kumponda Arteta na kumshambulia Kila afanyacho, Lakini ungekuwa unaona process inayofanyika ungetoa credit


Jesus Kwanza analetwa kama upgrade ya mketiah , kamsikilize Kwanza Edu Jana kabla ya game akifanya press na ESPN , amesema watasajiri majina makubwa mawili ,kaongea mengi sana

Soma

 
Screenshot_20220424-143601.png
 
#PL 18/19:
Man United 2-2 Arsenal
Arsenal 2-0 Man United

19/20:
Man Utd 1-1 Arsenal
Arsenal 2-0 Man Utd

20/21:
Man Utd 0-1 Arsenal
Arsenal 0-0 Man Utd

21/22:
Man Utd 3-2 Arsenal
Arsenal 3-1 Man Utd

Only one win against Arsenal in the last four years. But they never shut up
 
Me naona Jesus sio striker mkali kivile no mchezaji wa Kati tu yupo Man City team kubwa vile bado nafasi yake finyu ndo umlete uyo u double salary yake yae, strikers wapo wengi Sana viongozi wafanye scouting ya maana wapate strike mzuri
 
Me naona Jesus sio striker mkali kivile no mchezaji wa Kati tu yupo Man City team kubwa vile bado nafasi yake finyu ndo umlete uyo u double salary yake yae, strikers wapo wengi Sana viongozi wafanye scouting ya maana wapate strike mzuri
Acha Arteta afanye kaz yake , hata Summer usajiri wa kina tomiyasu, ben mweupe, ulipondwa sana ,plus Odegaard , mliuponda sana

Arsenal ya Sasa tayari kuna structure kabisa ya uchezaji, nafas zinatengenezwa za kutosha ,

Gabriel ni upgrade ya Nketiah , bado kuna usajiri mwingine wa kumreplace Laca.

Tafuta Mahojihano ya Jana ya Edu na ESPN kabla ya mechi

IMG_20220424_144102.jpg
 
Spurs kuna mpira alimpigia Liva walipokutana mzunguko wa kwanza nikasema sasa tunashuhudia ushindani.

Baada ya ile siku akaendelea kua hovyo.

We have a chance against spurs.

Kwenye ile ilikuwa ni Kipindi kile cha Wachezaji wetu kupata Korona mpaka mechi yetu na nyinyi ikahairishwa.

Lakini angekikuta Kikosi Chetu kilivyokamili kama sasahivi basi asingefurukuta.
 
The budget we used last summer, we prefer to use it to rebalance the squad, there was no point in hiring one or two players [in January], the squad was not prepared to absorb two players, we needed to rebalance the squad," Edu told ESPN Brasil. "Maybe next season we can go to one or two big players.

"Today we find a much more balanced squad. Our planning has already been done, it has already reached the owners
 
Spurs dhid ya Leicester akifungwa au droo, mech na Liverpool anaenda kufa,

Tunahitaji westham na Leeds waache point , westham tutacheza nae akiwa anaelekea mech ya marudiano Europa, pia kwasasa westham wanakikos finyu, had Jana walikuwa na cb mmoja tu, leo dhid ya Chelsea wamefanya mabadiliko wachezaji 6,

So tukimpiga next week,, tunamalizana na Leeds Emirates,

So kama Spurs atakuwa amekosa matokeo yoyote dhid ya Leicester na Liverpool , mech yetu na wao May 12 ,ni kwenda kuwazika rasmi,


Mtihani mkubwa ni kushinda mechi 2 zinazokuja , Kisha tumuangalie Spurs anakujaje ,
 
Jesus to Arsenal?


"The source also assured us that the talks have already reached an advanced stage and that all parties desire to actually complete the deal,"
 
Nketiah anaenda kuwa replaced na Gabriel Jesus

Laca anaenda kuwa replaced na Either Darwin Nunez, Tammy Abraham, Osmhen,Lewin., N.k

Auba atakuwa replaced na Kiungo mshambuliaji
 
Back
Top Bottom