Upo serious kabisa? Kwani Arteta ana tatizo na Pepe au saliba?
Kuhusu Auba wadau wameshakujibu
Kuhusu saliba ,Sio Arteta tu, bench lote la ufundi lilikubaliana kijana hajaiva kuingia kwenye mfumo wao wanaoutaka, hivo apelekwe Loan , na afatiliwe , na mara nyingi Areta amekuwa akisema yupo kwenye mipango msimu ujao,
Kumbuka Huyu hakusajiriwa na Arteta ,hivo ni kawaida kutofit kwenye mfumo wake
Swala la Pepe mbona Hana tatizo na Arteta, kilichotokea Pepe aliaminiwa cha ajabu kapigwa Gape na Saka ,
Ulitaka Arteta afanye nn kwa Pepe?
Mchezaji akikosa tu nafasi tayari mnasema ana ugomvi na Kocha..
Pepe ni inconsistency player, na anaenda kuwekwa sokon ,
Unamlaumu vipi Arteta wakat huyu alisajiriwa na genge la kina Raul sanheil, wakapiga hela,
Arteta kafanya vingi sana kwa Pepe,kampa nafas sana, but bukayo Saka amekuwa na impact kubwa kuliko Pepe
Binafssi nampenda Pepe ila siwezi kuleta mahaba , kisa hapangwi, wakati Saka anatusaidia ,ana consnstency