Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Spurs kasuluhu.

Arsenal tupo nafasi ya nne.

Arsenal tuna Westham na Leeds kisha tunakutana na spurs.

spurs ana Leicester na Liva kisha anakutana na Sisi.

Tukomae.

Kwa hali ilivyo, we don’t have to underrate our opponents, you have seen how spurs were unable to get results today. Yani nikushikiria pale pale
 
Tavares inabd atupwe kwa mkopo italia huko akakomae,

then cc twende Brighton pale tukafanye biashara watupe yule Lb wao Cucurella aje asaidiane na Tierney pale. tatzo la Lb litakua limeisha
 
Acha ushamba na viingereza vyako vya kijinga. Kujifanya kuongea vingereza vingi kwenye forum ya kiswahili ni dalili kwamba hujiamini.

Usipangie watu cha kuongea. Hii ni forum huru kwa arsenal fans. Kila mmoja yupo huru kuonyesha kutokuridhika kwake.
Sawa
 
Tavares inabd atupwe kwa mkopo italia huko akakomae,

then cc twende Brighton pale tukafanye biashara watupe yule Lb wao Cucurella aje asaidiane na Tierney pale. tatzo la Lb litakua limeisha
Kuna na yule beki wa kushoto wa Watford anaitwa Hasane Kamara, anapiga kazi sana.. ana ngumu, pace na balance ya kushota.

Hawa ndo wachezaji wa kupita nao pindi timu zinaposhuka daraja.
 
Ladies and Gentlemen! A Tz Boy from Mkuranga self claim as an Arsenal die hard fan (While some Arsenal fanboys saying he is an ARV is disguise) told us Striker Gabriel Jesus not a calibre to play for Arsenal 😂😂😂
He said, "Gabriel Jesus can't even scores a 10+ goals per season". 😂😂

The Reality: He's not playing as a regular starter because he's playing for Man City, out of Man City he's a regular starter. Same to Diogo Jota out of Liverpool he's a regular starter.
 
Ladies and Gentlemen! A Tz Boy from Mkuranga self claim as an Arsenal die hard fan (While some Arsenal fanboys saying he is an ARV is disguise) told us Striker Gabriel Jesus not a calibre to play for Arsenal
He said, "Gabriel Jesus can't even scores a 10+ goals per season".

The Reality: He's not playing as a regular starter because he's playing for Man City, out of Man City he's a regular starter. Same to Diogo Jota out of Liverpool he's a regular starter.
Hanaga takwimu sahihi kwa kuwa anakuwa amejiandaa kupinga hivyo kila linalomjia kinywani analitema
 
@Msurunje unahisi why Guardiola anamtaka Halaand amuache Gabriel Jesus?why anataka kutumia paund za kutosha ampate Haaland wakati ana JESUS?answer me wakati naendelea kufurahia ushindi wa Manchester United ukinipa vivid answer ntakukubali huwa una tabia ya kukimbia arguments wanaume wa football tukiwa tunabadilishana ideas kwa hili usikimbie huyo Fan of Gerrard sijamjibu coz anataka kutuchoresha hana alijualo ni mtoto wa juzi namu ignore
City kuna Mahrez De Bruyne Gundogan Phoden Grealish why JESUS?tena forward?why?

Same situation unahisi why Arsenal inakubali Laca na Nketiah wachape lapa?

Nasubiri jibu lako na ukinijibu kwa ufasaha ntaamini you know about football ️ na sio mzee wa kufuata upepo wenzio waongee uuungie maada juu kwa juu Msurunje
 
Ladies and Gentlemen! A Tz Boy from Mkuranga self claim as an Arsenal die hard fan (While some Arsenal fanboys saying he is an ARV is disguise) told us Striker Gabriel Jesus not a calibre to play for Arsenal 😂😂😂
He said, "Gabriel Jesus can't even scores a 10+ goals per season". 😂😂

The Reality: He's not playing as a regular starter because he's playing for Man City, out of Man City he's a regular starter. Same to Diogo Jota out of Liverpool he's a regular starter.
How many teams did Jota fare out as a regular?
 
@Msurunje unahisi why Guardiola anamtaka Halaand amuache Gabriel Jesus?why anataka kutumia paund za kutosha ampate Haaland wakati ana JESUS?answer me wakati naendelea kufurahia ushindi wa Manchester United ukinipa vivid answer ntakukubali huwa una tabia ya kukimbia arguments wanaume wa football tukiwa tunabadilishana ideas kwa hili usikimbie huyo Fan of Gerrard sijamjibu coz anataka kutuchoresha hana alijualo ni mtoto wa juzi namu ignore
City kuna Mahrez De Bruyne Gundogan Phoden Grealish why JESUS?tena forward?why?

Same situation unahisi why Arsenal inakubali Laca na Nketiah wachape lapa?

Nasubiri jibu lako na ukinijibu kwa ufasaha ntaamini you know about football ️ na sio mzee wa kufuata upepo wenzio waongee uuungie maada juu kwa juu Msurunje
Siwezi kuwa na majibu ya kichwani mwa pep lkn naweza kujibu kutokana na mazingira ya football:-

1. Yawezekana anataka kumuuza kwa kuwa hampi kile kitu anachokitaka/alichokitarajia na inaweza yasiwe magoli peke yake maana km issue ingekuwa ni magoli basi misimu kadhaa asingeachana na aguero na kubaki na Jesus

2. Anahitaji kuongeza striker hivyo kupunguza gharama inamfanya aondoe mtu ili mwingine apate nafasi na kwa vile pep sio muumini wa strikers hivyo haoni sababu ya kuwa na idadi kubwa ya striker ambao hawezi kuwatumia. Kumbuka pep ni muumin mkubwa wa viungo ndo maana utakuta anaweza cheza gem bila striker hata moja.

3. Inaweza kuwa ni sababu ya mchezaji mwenyewe baada ya kuona pale City kuna ushinadani mkubwa na hakuna mwenye uhakika wa namba ya kudumu hivyo akaona bora kuomba kuondoka ili aende sehemu ambayo ushindani sio mkubwa hivyo anaweza akapata fursa ya kucheza/uhakika wa namba.

Na kumbuka kuwa mchezajia anapohama timu sio kwamba ni mbovu ila kuna sababu zinazomfanya asifanye vzr lkn akienda sehemu nyingine anafanya vzr hapo sina hata haja ya kutoa mifano maana ipo mingi mno. Haya na wewe tuambie unadhani kwanini pep anataka kumwachia Jesus
 
Back
Top Bottom