Lini Arteta alifanya vibaya kwenye Man management?Kazi ya arteta sasa ni kujenga squad ya ucl hata asipoingia top 4. Yeye pia ana kazi ya kuimprove mbinu zake na man management yake. Pamoja na kutokumkubali siwezi kusema hajaimprove. Anaimprove kwahiyo ana potential ya kuwa bora zaidi
Nyie msimu wa tisa mnalia mnakazi ya kubadilisha makocha na Magure na sikia kajivunja hataki lawama za kijinga ktk mechi ya Chelsea wakati timu lenyewe bovu.Sema Arsenal mmeteseka sana jamani mfurahie kidogoooHaiwezekani kila siku mnalia nyiee tuu
Sitamzungumzia ozil. Nitasema suala lile ni political,Lini Arteta alifanya vibaya kwenye Man management?
Bergkamp, fundi wa mpira, mbona ana kama kakitambi ka utapiamlo au kiribatumbo hivi..Edu, Gilberto Silva, Dennis Bergkamp, Jens Lehmann and Thierry Henry were at the game today.
Invincibles.
View attachment 2199015

Toa di Maria hapo, kathibitisha thamani yake madrid kule.Sielewi kinachoendelea hata kwa Jesus japo bora Jesus aisee kidogo height, physical appearance na motion/running/positioning style ni mchezaji.
Tammy Abraham sio mchezaji wa kucheza Arsenal hana hiyo quality na tayari alishindwa kuprove Premier League.
Tammy Abraham × Lukaku × Zaha × Depay × Di Maria × Martial × Nicolas Pepe × Renato Sanchez = Farmers Leagues / Small Teams Players
Yes! Auba ni mchezaji mkubwa sana na muhimu kwenye kikosi chetu,mkataba wake ulikaribia kuisha kipindi flani hivi na Arteta as a Manager alifanya juhudi za kuongeza mkataba wake kwa ofa kubwa zaidi na mshahara mkubwa zaidi......No doubt alifanya vile akitambua umuhimu wake ndani ya timuSitamzungumzia ozil. Nitasema suala lile ni political,
nisema auba, nilipewa clarifications humu kuwa alikuwa mtovu wa nidhamu kishenzi, solution pekee ikawa ni kumuondoa asiambukize wengine. Safi sana ingawa me naona ni poor man management. Kwa nini waliomtangulia waliweza kudeal na auba wakapata best performances kwake. Afu arteta amshawishi abaki ajenge legacy afu chini ya six months haziivi ? Tunamlaumu auba lakini tunamtetea arteta kwa kukosa leadership qualities za kudeal na top class player mjeuri jeuri. Huyu je angekuwa na pogba pia ingekuwaje? Je yeye uwezo wake ni kudeal na under 25s tu?
Credit where its due, excellent job on xhaka.
Nije kwa pepe. Great talent wasting away. Na bado nadhani saliba hamkubali arteta kwa sababu sidhani kama amemmanaje au kumpa imani kuwa anaweza kumtumia.
Kwangu mimi..,besides coaching football tactics, hii ni mifano ya mtu asiye deal vizuri na baadhi ya watu one on one na kuweza kuwaaminisha katika project yake. Naifananisha na kupoteza colleagues wazuri kazini kwa kuwa boss anashindwa kuwaongoza.
mpaka anaonndoka alikuwa liability kubwa sana kwenye timuYes! Auba ni mchezaji mkubwa sana na muhimu kwenye kikosi chetu,mkataba wake ulikaribia kuisha kipindi flani hivi na Arteta as a Manager alifanya juhudi za kuongeza mkataba wake kwa ofa kubwa zaidi na mshahara mkubwa zaidi......No doubt alifanya vile akitambua umuhimu wake ndani ya timu
With unexpected event,Auba akakosa confidence ndani ya uwanja,akakosa utulivu mbele ya goal,na mbaya zaidi akawa abiria ndani ya pitch na maneno yakawa mengi zaidi juu yake na Arteta wala hakujali hilo kila mechi lazima acheze Ila sisi mashabiki huwa hatuna uvumilivu kwa underperforming player
Kilichotokea kwa Auba ni mfululizo wa matukio ya kinidhamu juu yake na wala hakuwa tayari kuachana nayo......ni tabia ambayo wachezaji wengi wenye asili ya France kuwa na jeuri sana....the likes of Ousmane Dembele,Paul Labile Pogba and etc
As a Young Manager unaelewa kwann alipush kuondoka kwa Auba pale Arsenal,Auba ni senior player ndani dressing room pia ni Captain wa timu yenye a lot of Young player who are willing to learn from him,wale watoto alikuwa anawafundisha kitu gani zaidi ya tabia mbaya kwa watoto
Naelewa unampenda sana Auba ila kuna hatua ikifika lazima uachane nae ili kirusi chake kisisambae ndani ya miili ya vijana wadogo walio bright future ahead
Arsenal ilikuwepo kabla hata huyo Auba hajazaliwa ,mpaka sasa ipo na itaendelea kuwepo hata baada ya Auba kufariki.....kwahyo yeye sio bora kuliko timu yetu na ndio anayewafanya Arteta aonekane hajui Man Management,Are you serious?
Hawa vijana wasituchanganye issue yao ya kumpenda sana Auba ndo kumfanye our own Mikel akose Man managementmpaka anaonndoka alikuwa liability kubwa sana kwenye timu
Umewahi kuwa kiongozi!!?? Chukulia wewe ni kiongozi ambae wote walio chini yako wanatakiwa kukusikiliza na kufanya kile unachowaelekeza alafu akatokea mmoja kati ya unaowaongoza anaenenda tofauti na kila ukimuonya bado habadiliki je utachukua uamuzi/hatua gani?Sitamzungumzia ozil. Nitasema suala lile ni political,
nisema auba, nilipewa clarifications humu kuwa alikuwa mtovu wa nidhamu kishenzi, solution pekee ikawa ni kumuondoa asiambukize wengine. Safi sana ingawa me naona ni poor man management. Kwa nini waliomtangulia waliweza kudeal na auba wakapata best performances kwake. Afu arteta amshawishi abaki ajenge legacy afu chini ya six months haziivi ? Tunamlaumu auba lakini tunamtetea arteta kwa kukosa leadership qualities za kudeal na top class player mjeuri jeuri. Huyu je angekuwa na pogba pia ingekuwaje? Je yeye uwezo wake ni kudeal na under 25s tu?
Credit where its due, excellent job on xhaka.
Nije kwa pepe. Great talent wasting away. Na bado nadhani saliba hamkubali arteta kwa sababu sidhani kama amemmanaje au kumpa imani kuwa anaweza kumtumia.
Kwangu mimi..,besides coaching football tactics, hii ni mifano ya mtu asiye deal vizuri na baadhi ya watu one on one na kuweza kuwaaminisha katika project yake. Naifananisha na kupoteza colleagues wazuri kazini kwa kuwa boss anashindwa kuwaongoza.
Daah. Good point. Yes nimewahi. Nimeshawahi kumtimua samaki aliyeoza na tukamaliza project. Baadae nikaona kuwa yule angebaki tungeperform vizuri zaidi iwapo angetoa ushirikano. Wakati mwingine tulienda tu na msumbufu project ikaisha hivyo hivyo, ila nikatamani ningekuwa nimemtoa mapema maana kuna vitu alifanya atakavyo na siyo nilivyotaka. Mwishowe sikuipenda kazi ila consumers walipenda. Ni ngumu kidogo suala hili na ni changamota ya kawaida kwenye field yangu.Umewahi kuwa kiongozi!!?? Chukulia wewe ni kiongozi ambae wote walio chini yako wanatakiwa kukusikiliza na kufanya kile unachowaelekeza alafu akatokea mmoja kati ya unaowaongoza anaenenda tofauti na kila ukimuonya bado habadiliki je utachukua uamuzi/hatua gani?
Hahaha hapana bro. Hao watakuwa wachawi. Kila fan anapenda ushindi. Tukikosa ushindi especially kwa sababu hatuoni matumaini mema, then tutataka aondoke. Akishinda na akaendelea kushinda tena na tena, mataji akaleta, tumtake aondoke aende wapi?Lili Genge la Arteta out toka Apigwe Chelshoga na Manure mbona limepotea? Wanasubiri Arsenal ifungwe sio?
ok.Kila manager ana wachezaji ambao anaweza kuwatumia katika project mkuu....Huyo Pepe na Saliba hata kama ni wazuri kiasi gani ila kama hawa fit kwenye mfumo wake basis hawana maana mkuu
Kocha hawezi kufanya kazi ya kubadilisha aina ya uchezaji wa kila player ila anachofanya ni kumuongozea skills kwenye mfumo wake tu.
Kila Underperfomer kwenye mfumo wa Mikel anapaswa kuondoka na ndio kila Manager bora ana sifa hiyo duniani
Xhaka anaweza kufanya kosa ila kesho yake akaomba msamaha,ila hilo halijawahi kutokea kwa Auba japokuwa na makosa yake yote ndani ya club
#Arteta out Bandwagon and #Arteta out Brigade......itabidi mtafute mtu mwingine wa kumpa lawana juu ya kipenzi chenu Auba na ndio mnajificha kwenye kivuli cha flop players wengine kama kina Pepe eti kwa kushindwa kuwamanage
Upo serious kabisa? Kwani Arteta ana tatizo na Pepe au saliba?Umeona kuwa sijatumia mfano wa auba tu? Pepe na saliba?
Kama unamuona Arteta Hana management basi hata pep Hana management ,Kwangu mimi..,besides coaching football tactics, hii ni mifano ya mtu asiye deal vizuri na baadhi ya watu one on one na kuweza kuwaaminisha katika project yake. Naifananisha na kupoteza colleagues wazuri kazini kwa kuwa boss anashindwa kuwaongoza.
Kama definition yako ya poor management ndiyo hii basi upo sahihi , na hakuna Kocha basi mwenye management Bora dunianiunawapa 1v1 coaching ya finishing, dribbling, whatever the case. Yote hayo unaweza fanya kama unaushawishi kwa mchezaji wako na anaimani na project yako. Ukishindwa, hiyo inaitwa poor man management.