Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Let's wait and see na kuna siku ntakukumbusha kuhusiana na hili Mark my words na pia congratulations kwa kuipenda our team Arsenal

Yani Ndani ya huu Mwezi wa 4 tu basi tayari Gabriel Jesus ameshakuprove wrong.
Leo pia amebandika huko
 
Yani Ndani ya huu Mwezi wa 4 tu basi tayari Gabriel Jesus ameshakuprove wrong.
Leo pia amebandika huko
Unaongelea only April?kwani kaanza kuchezea Manchester City April?Gabriel yupo Manchester City since 2017 ,unamkumbuka Calvert lewin?because April kascore unataka kumaanisha nini?kuna kipindi players wanakuwaga na upepo mzuri au mbaya bro relax bro unamkumbuka Chamack?alivyoingia EPL uliona moto wake?

But kama Mchambuzi wetu mahiri Aaron Arsenal alivyosema Jesus ni replacement ya Nketiah it's OK but Arsenal anatakiwa afanye usajili wa forward wa uhakika sio wa yule kesho anaamka vizuri mara kesho vibaya
 
Ninyi machalii hamuishi kutukanana aise, embu rudisheni nidhamu na maudhui ya uzi hili ni jukwaa huru lakini sio uhuru huo mnaomaanisha sasa.
 
Edu anakwambia tunahitaji mchezaji mmoja au wawili huu ni uchizi ukizingatia tunahitaji experienced signings angalau 4 kisha zije back up 2 au 3. Lakini jamaa anakuambia ". . . mchezaji 1 au 2"
Kaisikilize tena Press aliyofanya na hao Epsn Brazil kabla mech na man u Emirates stadium,

Hao wachezaj wawili alimaanisha Big names , amesema msimu huu walisajiri vile kubalance kikos , ila msimu ujao wapo tayari na Kse wamesha approve kutumia hela kubwa kwa signing kubwa 1 or 2, ndicho alichomaanisha sio kwamba watasajiri wachezaji wawili tu

Kuhusu washambuliaji wanahitaji wawili na viungo wawili,

Eddie na Laca hawatabaki , hivo replacement zao ndio hizo ya Kwanza ni Jesus , nyingine ndio wana majina hayo kina Osmhen, Tammy, Nunez, n.k

Hii sajiri ya pili ya ST lazima Kuna hela itatoka kuanzia £50m na kuendelea , ni moja ya hizo signing alizozitaja Edu
 
Ni dhahiri Eddie na Laca safari imeiva

Screenshot_20220427-002200~2.png
 
Gabriel Jesus will be a perfect fit for Arsenal.. Kuna watu hata tukimsajili Messi watasema tumesajili mzee.. Mimi namkubali sana yule Mwamba
 
Edu anakwambia tunahitaji mchezaji mmoja au wawili huu ni uchizi ukizingatia tunahitaji experienced signings angalau 4 kisha zije back up 2 au 3. Lakini jamaa anakuambia ". . . mchezaji 1 au 2"
Wengi ile press hawakuielewa , ila baadae ESPN waliiweka sawa

Ni two big names ,sio wachezaji wawili tu,

It’s expected that Arsenal will focus on bringing in two marquee names this summer, although Football London understands that Edu has not ruled out bringing additional players in. [@ChrisWheatley_] #
 
Gabriel Jesus will be a perfect fit for Arsenal.. Kuna watu hata tukimsajili Messi watasema tumesajili mzee.. Mimi namkubali sana yule Mwamba
Wanamkataa wakati Anaondoka nketiah na Laca , na klabu inaleta. . upgrade mbili za hao watu, ni dhahiri , replacement ya Nketiah ni Jesus, ya Laca ndio hao kina Nunez, Tammy,n.k
 
Back
Top Bottom