Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Laca kalianzisha na wengine watafuatia hakuna player ambaye hataki kucheza kwenye big European competition na hakuna player ambaye atajitambua awe chini ya Arteta kocha ambaye EXPERIENCE ya michuano hana let's wait and enjoy the showView attachment 2192861

KOCHA SI LOLOTE SI CHOCHOTE..

KWANI KATI YA ARTETA NA MAGUIRE NI NANI ALIWAHI KUCHUKUA KOMBE KUBWA ZAIDI YA MWENZAKE?
 
Xg numbers;

Southampton (0.65) 1-0 (1.72) Arsenal

Over the last five matches:
Arsenal (6.91) 2-8 (4.46) Opponents

So we created enough...
 
Hawawezi kuendelea kubaki arsenal kama timu yetu haina muelekeo

Wakiondoka tunasajili wengine, kwani si waliletwa na Arteta au? Football is not a zero sum game & Arteta's talent id is key to this football club. Kwani si Arsenal fans mlikuwa mshasusia hata kuangalia games za Arsenal, sa malalamiko ya nini kama hamuoni progress wakati ni kitu mlichonormalize wayback?
 
We usitake kuchekesha Maiti iliyolala Klopp wakati anakuja Liverpool alikuwa ametokea wapi?na Arteta alikuwa ametokea wapi?Klopp ametokea Dortmund kama Kocha Mkuu na alikuwa ameibadili timu nusura abebe Champions league bahati mbaya haikuwa kwake but the way style of playing ilikuwa babkubwa na alikuwa na wachezaji wa kawaida ambao hakuna timu yoyote ilikuwa inapenda kucheza nao na alikuwa kina Gundogan ,Reus,Lewandoski,Hummels na wengineo ambao bila yeye Klopp leo wasingefahamika Duniani na alikuwa anasumbua timu yoyote ile muulize Mourinho na Guardiola watakwambia

Klopp kaja Liverpool kakuta kweli players wengi walikuwa ni Rubbish na hakuwa na papara kaanza kusajili mmoja mmoja na wengine kawatoa Academy kabisa but sababu ya EXPERIENCE KWENYE FOOTBALL leo tunaiona Liverpool ni one among the best team in the world na Klopp hakuwahi kurudi step back ameanza nafasi ya 8 then 6 then 4 now Ubingwa na Arteta kaja Arsenal akamaliza nafasi ya 8 last season wa 8 now this season haieleweki na Kumbuka Arteta ni Manager sio kocha peke yake

Arteta ana LACK EXPERIENCE ya ukocha hili ndio tatizo kubwa this season two players wamepata injuries timu imeanguka kupitiliza na sasa tupo katika hatari ya kuendelea kupoteza games za kutosha na tukikosa Champions league hakuna Big players ambao watakuja Arsenal sababu kwanza kocha hana lolote alijualo kwenye Michuano ya ulaya na Arsenal haishiriki Michuano so kupata players ni tatizo na haitawezekana

Kwa kumaliza Arsenal itaamka siku akija Owner mwenye uchungu na Arsenal ambaye akija ataanza kutimua kocha na robo 3 ya players ambao timu itaanza upya na Kocha mwenye EXPERIENCE na wachezaji wapya(baadhi wa kujenga timu)Hapo Arsenal itapanda kufikia kuwa tishio inawezekana Kroenke hata Arteta hamjui (inawezekana) na timu nzima labda anawajua wachezaji wawili pekee

Hvyo mfano wa Klopp na Arteta ni Mbingu na Ardhi ulioutoa haufanani na wala hauendani kamwe Klopp kaja Liverpool akiwa ni Kocha mwenye EXPERIENCE na leo inadhihirisha EXPERIENCE yake na Arteta amekuja Arsenal akiwa ndio anaanza ukocha rasmi yaani hakuna anayejua uwezo wake na leo yanaonyesha toka game 3 Mkononi vs Spurs Manchester United leo wote hao wametupita kwenye msimamo

Ukitaka kuona Arteta hajui kitu inawezekana mimi pia sijui football angalia maamuzi yake ya January yanavyoiumiza Arsenal kwa sasa leo Arsenal ina Lokonga but kuna Guendouz Torreira ambao wana shine huko nje na Wamekataa kurudi Arsenal sababu ya maamuzi yake ya Kijinga jinga amebaki na Laca na Nketiah huku Auba kaondoka bila replacement

Inawezekana kama kocha angekuwa KLOPP ENRIQUE Arsenal hii hii ingefuzu Champions league bila Presha sababu
Hata matokeo mabaya ya Arsenal mengi msimu huu ni sababu ya Upangaji wa kikosi kizima sometimes na yeye mwenyewe kukiri amekosea kwenye squad selection hii Mimi na some fans ndicho tunacholilia Kocha mwenye EXPERIENCE that's it

Leteni ndizi utumbo ushapatikana huku, temaji lishatema sumu😁
 
Wakiondoka tunasajili wengine, kwani si waliletwa na Arteta au? Football is not a zero sum game & Arteta's talent id is key to this football club. Kwani si Arsenal fans mlikuwa mshasusia hata kuangalia games za Arsenal, sa malalamiko ya nini kama hamuoni progress wakati ni kitu mlichonormalize wayback?
Sijawahi kususia game za arsenal mkuu
 
Mbona uzi umepooza utazani hamna game leo 🤣 umsipoangalia game dhidi ya timu yetu ya Chelsea still hamtakuwa na tofauti na watakaoangalia maana maumivu yatabaki pale pale
 
Pale striker ndo shida Hawa makinda wanapambana ila inaonekana bado ukomavu kwa timu kubwa bado
 
Laca kalianzisha na wengine watafuatia hakuna player ambaye hataki kucheza kwenye big European competition na hakuna player ambaye atajitambua awe chini ya Arteta kocha ambaye EXPERIENCE ya michuano hana let's wait and enjoy the showView attachment 2192861
Anatakaje European futball wakat yeye mwenyewe hafungi magoli ya kutosha??
 
Naomba kikosi kikamilike, mambo ya kusema mchezaji flani alikuwa mgonjwa au amechezeshwa nafasi isiyo yake hatutaki kuyasikia mana kuna muda mambo yakiwa magumu unamkuta kipa ameenda kuwa mshambuliaji lkn hapo hamsemi kipa amecheza nafasi isiyo yake,
hvy mm mshabiki wa chelsea sitaki kusikia malalamiko yenu Arsenyeto.
 
Kabla mechi haijaanza, Naombeni mnipe ratiba ya uchambuzi wa kina wa mechi ya leo ili tusije kukimbiana wakati wa kipigo, niambieni kabisa ili muda ukifika niwashtue.
 
Back
Top Bottom