Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Labda wakachambue maharage.Watu wamekula kichapo cha mbwa Koko wako wanajikanda na maji ya moto nyumbani kwao kupoza manundu ....unataka Tena waje kufanya uchambuzi
Labda wakachambue maharage.Watu wamekula kichapo cha mbwa Koko wako wanajikanda na maji ya moto nyumbani kwao kupoza manundu ....unataka Tena waje kufanya uchambuzi
Mbona walimpa dawa ya mmbu?Huyu ndio kocha bora dunia nzima.
Cheki hapo amepewa tuzo ya kocha bora wa karne ya 21.View attachment 2189807
Baada ya kupewa hilo kopo la Rungu, Mashabiki wa AsaniAli wakadanganyana kua Arteta ndio kocha bora wa karne ya 21Mbona walimpa dawa ya mmbu?



"Aser8 akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani na kanga moja imelowa maji huku wanatingisha wowowo, wakisema chukua yote" Cash Money ForeverJiandaeni kumtingishia Chelsea matako
Naona wao wenyew wameukimbia uzi wao hapo wanasubil kipigo kutoka kwa Chelsea, westham,Manchester, hawatoonekana humu mpka msimu unaisha"Aser8 akicheza mashabiki wake duniani kote wanapita mtaani na kanga moja imelowa maji huku wanatingisha wowowo, wakisema chukua yote" Cash Money Forever
Siyo top three tena??Ninachojua top 4 tunaingia
Save it
#COYG
YamepiGwA tena??!Hizi mechi tatu mfululizo mlizofungwa jumlisha na mechi zijazo aiseee mtakimbia sana huu uzi
Hata msipofaulu top 4 bado mna timu nzuri ya kesho na keshokutwa katika kukua
So much young talents nafikiri kuzidi timu nyingi za EPL tatizo tu wakishajulikana wanauzwa
- Saka 20yo
- Martineli 20yo
- Tavares 20yo
- Rowe 21yo
- Nketiah 22yo
- Sambi Lokonga 22yo
- Tomiyasu 23yo
- Odegaard 23yo
- Ramsdale 23yo
- Tienrney 24yo
- Benwhite 24yo
- Gabriel 24yo
ARV maarufu kwa emoji😀😀😀 ameishakula ban, sijui kababatizwa na kifungo cha muda gani, lakini hamtamuona hapa tena na utoto wake