Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
Kumekucha, @ollachuga njoo huku
hata kama nikwa muda acha tuinjoiKumekucha, @ollachuga njoo huku
Goli zuri sana. Mnaokoa kwenye hatari kubwa na kugeuza hatari kwa mpinzani na kumuadhibu.Smith rowe... 2
Lokonga ajifunze kwa baba zakeElneny na Xhaka wamejitahidi kutulia pale kati.
Tofauti na yule mtoto Lokonga.