verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,153
- 6,258
Game ya leo mtapoteza hilo halina ubishi, shida yangu mimi ni uchambuzi hakuna humu siku hizi, shida nini tena vijana mmeacha kuandika chambuzi?
Ulishabakwa mara ngapi?CHELSEA AKISHINDA LEO MNIBAKE
Anafanya Namna ilimradi NKETIA asaini mkataba ndo maan anampa nafasi japo ni ku risk mech maan hiz game za kuweka RekodHivi Arteta haoni kama Martinelli ni bora kuliko Nketiah?
Hivi Arteta haoni kama Martinelli ni bora kuliko Nketiah?
Vipi bado unatamani Nketiah aendelee kusubiri?Kikosi upande wangu kipo sawa ila pale mbele tungeanza na Martineli ,Nketiah angetusubiri.
Ila sio mbaya #COYG.
Nimependa uwepo wa Elneny, ilitakiwa acheze mechi zote zilizopita baada ya kuumia kwa Partey.
Pia Leno alitakiwa apewe nafasi leo badala ya Ramsdale.
Wacha tuone, itakuaje!
Mbona mara zote nilisema Aaron siyo mzuri kwenye shot stopping.Ramsdale amekuwa hivyo sana mwishoni