Msimu wa kwanza na wa pili Klopp alipoanza kuifundisha Liverpool ulikuwa umeshaanza kushabikia mpira?
Unajua aina ya wachezaji aliokuwa nao? Kama hujui ni:-[emoji116]
Mignolet (GK)
Ibe (Mshambuliaji)
Origi (Mshambuliaji)
Benteke (Mshambuliaji)
Lallana (Mshambuliaji)
Emre Can (Kiungo)
Lucas (Kiungo)
Henderson (Kiungo)
Moreno (LB)
Clyne (RB)
Kolo Toure (CB)
Skirtel (CB)
Sakho (CB)
Lovren (CB)
Sasa hapo kwenye Ligi muulize @WillJr nafasi yetu kwenye EPL ilikuwa ni ya 7 au 8 tukigombania nafasi ya Europa na kina Westham.
Je, kwa kipindi hicho mbinu za Klopp zilikuwa mbovu? Je Klopp hakuwa Kocha alipaswa kufukuzwa?
Hiyo ndiyo same scenario na Arteta, kwa qualities za wachezaji alionao hata umlete Pep na Klopp wawe Kocha na msaidizi wake basi Timu haitaweza kufanya lolote hiyo na utasema wafukuzwe hawafai.
Hebu angalia muna mchezaji calibre ya Son na Kane? Mane na Salah? De Bruyne na Mahrez? Mount na Harvetz? Ronaldo na Fernandez? How Arteta ataweza kucompete na Timu hizo?
Hebu mpeni Wachezaji wa maana ajenge Timu ya ushindani then muweze kumuhukumu.
We usitake kuchekesha Maiti iliyolala Klopp wakati anakuja Liverpool alikuwa ametokea wapi?na Arteta alikuwa ametokea wapi?Klopp ametokea Dortmund kama Kocha Mkuu na alikuwa ameibadili timu nusura abebe Champions league bahati mbaya haikuwa kwake but the way style of playing ilikuwa babkubwa na alikuwa na wachezaji wa kawaida ambao hakuna timu yoyote ilikuwa inapenda kucheza nao na alikuwa kina Gundogan ,Reus,Lewandoski,Hummels na wengineo ambao bila yeye Klopp leo wasingefahamika Duniani na alikuwa anasumbua timu yoyote ile muulize Mourinho na Guardiola watakwambia
Klopp kaja Liverpool kakuta kweli players wengi walikuwa ni Rubbish na hakuwa na papara kaanza kusajili mmoja mmoja na wengine kawatoa Academy kabisa but sababu ya EXPERIENCE KWENYE FOOTBALL leo tunaiona Liverpool ni one among the best team in the world [emoji289] na Klopp hakuwahi kurudi step back ameanza nafasi ya 8 then 6 then 4 now Ubingwa na Arteta kaja Arsenal akamaliza nafasi ya 8 last season wa 8 now this season haieleweki na Kumbuka Arteta ni Manager sio kocha peke yake
Arteta ana LACK EXPERIENCE ya ukocha hili ndio tatizo kubwa this season two players wamepata injuries timu imeanguka kupitiliza na sasa tupo katika hatari ya kuendelea kupoteza games za kutosha na tukikosa Champions league hakuna Big players ambao watakuja Arsenal sababu kwanza kocha hana lolote alijualo kwenye Michuano ya ulaya na Arsenal haishiriki Michuano so kupata players ni tatizo na haitawezekana
Kwa kumaliza Arsenal itaamka siku akija Owner mwenye uchungu na Arsenal ambaye akija ataanza kutimua kocha na robo 3 ya players ambao timu itaanza upya na Kocha mwenye EXPERIENCE na wachezaji wapya(baadhi wa kujenga timu)Hapo Arsenal itapanda kufikia kuwa tishio inawezekana Kroenke hata Arteta hamjui (inawezekana) na timu nzima labda anawajua wachezaji wawili pekee
Hvyo mfano wa Klopp na Arteta ni Mbingu na Ardhi ulioutoa haufanani na wala hauendani kamwe Klopp kaja Liverpool akiwa ni Kocha mwenye EXPERIENCE na leo inadhihirisha EXPERIENCE yake na Arteta amekuja Arsenal akiwa ndio anaanza ukocha rasmi yaani hakuna anayejua uwezo wake na leo yanaonyesha toka game 3 Mkononi vs Spurs Manchester United leo wote hao wametupita kwenye msimamo
Ukitaka kuona Arteta hajui kitu inawezekana mimi pia sijui football angalia maamuzi yake ya January yanavyoiumiza Arsenal kwa sasa leo Arsenal ina Lokonga but kuna Guendouz Torreira ambao wana shine huko nje na Wamekataa kurudi Arsenal sababu ya maamuzi yake ya Kijinga jinga amebaki na Laca na Nketiah huku Auba kaondoka bila replacement
Inawezekana kama kocha angekuwa KLOPP ENRIQUE Arsenal hii hii ingefuzu Champions league bila Presha sababu
Hata matokeo mabaya ya Arsenal mengi msimu huu ni sababu ya Upangaji wa kikosi kizima sometimes na yeye mwenyewe kukiri amekosea kwenye squad selection hii Mimi na some fans ndicho tunacholilia Kocha mwenye EXPERIENCE that's it