Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi super Tommisayu yuko wapi sijamuona kitambo kwenye kosi letu ?
 
Hivi super Tommisayu yuko wapi sijamuona kitambo kwenye kosi letu ?
.
Screenshot_20220417-002701.jpg
 
Oya wazee nimewawekea video ya mwamba muone anavyopiga role ya false #9 kama Mikel Arteta anavyohitaji, Mafans yasiyojua mpira yanaongea utumbo sababu anacheza Brentford. Compare him to lacazette if you wish but Ivan Toney is a complete striker. Hii ni game ya jana vs West ham.View attachment 2184164
Papaa Gx , nyie si mliamua kumchukua Lukazigo
 
Poleni Gunners wenzangu. Hata game sikutaka kuiangalia maana sikuona matumaini yoyote. hii ni bonge la bad patch na sioni ikibadilika hivi karibuni.
 
Back
Top Bottom