Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Our current form.
Screenshot_2022-04-16-19-59-25-97_955f68c4df44ad6a86e46b05cf65099a.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: ARV
Raha ya mpira ndiyo hii si unaona sasa mwenyewe muda umefika unaona ulichokuwa unabisha ndiyo uhalisia.
Unasema kitu kulingana na form uliyonayo hii haina ubishi kwa hizi mechi tatu tumekuwa na form mbaya hasa baada ya kuwakosa wachezaji wetu muhimu. Japo hakuna shabiki wa mpira anapenda kuona timu yake ikiwa kwenye form lkn haiondoi uhalisia wa football
 
Kuna vijana huwa naona wanachambua chambua vitu humu...anyway mtajijua wenyewe na litimu lenu la hovyo
 
Mm kama shabiki wa Chelsea, game lijalo nawapa ushindi wa bure ili kuwainua kimchezo watoto wetu wa London
 
Back
Top Bottom