Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hakuna ukomavu mlio uonesha Wala ukamavu wowote mlionao kwenye UCL.Kilicho wabeba ni bahati tu.

Kumbuka city mpaka Ft Hana short on target hata Moja.
Hio hio bahati ndio ukomavu mzee ...mbona unakaza ubongo
 
Leo tena tunatupa karata nyingine bila baadhi ya wachezaji wetu muhimu Partey, Tierney na Tomiyasu na kwa taarifa ya jana Lacazette hakuwepo mazoezini kwasababu ya mambo binafsi na hakukua na uhakika kama leo atakuwepo kikosini au la.

Arteta alisema kwamba ukipoteza mechi basi mechi inayofuata inakuwa ngumu zaidi. Je tutegemee mechi ya leo kuwa ngumu kama mechi mbili zilizopita?

Naamini leo tunaweza kupata matokeo japo mechi inaweza kuwa ngumu. Ngoja tusubili selection ya kikosi cha leo
 
Hizi ndio mechi wale Arsenal toxic fans walitakiwa waangalie kujifunza mpira. Arsenal tulicheza vizuri vs Brighton kuliko Spurs, baada ya game nitacheki XG philosophy inaportray kitu gani.
 
Leo tena tunatupa karata nyingine bila baadhi ya wachezaji wetu muhimu Partey, Tierney na Tomiyasu na kwa taarifa ya jana Lacazette hakuwepo mazoezini kwasababu ya mambo binafsi na hakukua na uhakika kama leo atakuwepo kikosini au la.

Arteta alisema kwamba ukipoteza mechi basi mechi inayofuata inakuwa ngumu zaidi. Je tutegemee mechi ya leo kuwa ngumu kama mechi mbili zilizopita?

Naamini leo tunaweza kupata matokeo japo mechi inaweza kuwa ngumu. Ngoja tusubili selection ya kikosi cha leo
yaaaap lacazette hayupo kbsa kaanza nketiah
 
Back
Top Bottom