kiboboso
JF-Expert Member
- Sep 17, 2013
- 9,351
- 12,686
Hahahah! List bado inaendelea, kituo kinachofuata ni kwa watakatifu msije mkadanganyika na wao kufungwa leo.Nyie hamna uwezo wa kufuzu UCL
Aston Villa
C. Palace
Brighton
Southampton
Chelsea
Man. United
West Ham

Kukosea kupo shee, arteta leo kachemsha kwenye selection ya kikosi lakn haipunguz kitu bado n kocha mzur, tuendelee kumvumilia@Mervin nasubiria wachambuzi die hard fans wa Arteta waje humu Jukwaani
Halafu kitu kimoja.Nilipoona kwenye kikosi hakuna partey nikaona mambo yanakuwa magumu mnoo
Gharam Potter next........![]()
Rudia maneno yako.Hapa hakuna timu ya kututisha, chelsea wangekuwa na speed wangeweza lkn hawana speed ya kuufikia mpira km liver hivyo kutufunga ni bahati nasibu

Unasemaaa!None of them is a threat, the only threat are the two top teams (City and Liverpool)
We kota vipi sasa umepakatwaHii siyo chelsea chura wewe
Kukosea kupo shee, arteta leo kachemsha kwenye selection ya kikosi lakn haipunguz kitu bado n kocha mzur, tuendelee kumvumilia
Mimi na wewe nani mchawiAcha uchawi
Vipi na wewe bado upo kwenye raceManchester chalii huyu tushamtoa kwenye race, kimbembe spurs






Hata sielewi sijui ana presha na matokeo huyu? Mpira wa arteta kama hana midfielder ya maana pale basi hakuna kitu ataambulia.Halafu kitu kimoja.
Kwanini asicheze back 3?
Aovercrowd mid kwakua hatuna mid.
Mbona anatia shaka sasa
Haya mzee mbona yalifahamika kwa sisi tunaoangalia football kwa macho 4 wala haishangazi ERoni