mfano
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 670
- 1,133
Elneny yuko slow, ila ki defance anamzd lukongaHivi lokonga ni mzuri zaidi ya elneny??

Kamba ya kuanikia nguo labda.Martinell kamba
Huwa naona pasi zake ziko sahihi zaidi ya lokongaElneny yuko slow, ila ki defance anamzd lukonga
Kila mtu anajua Lokonga ni Rubbish [emoji1005] halihitaji maelezomajibu anayo kocha mazoen
zini
ni kweli bro" team haikabi elneny anahitajika pamoja na pepe" asiposhtuka hii gemu mapema tunachakaamimi ningemtoa laca aingie pepe.
toa smith-rowe aingie elneny asaidiane na lokonga katikati. ode acheze mbele yao kama link na front 3 ya pepe, martinelli na saka. afu tuache kucheza wide, tucheze narrow kwa runs in behind. sipendi hii kuona saka na martinelli, esp martinelli wanakaa kwenye touchline wakisubiri balls to feet badala ya kupiga runs wapate throughballs. hawa brighton ni kuwapiga kwa sharp movements na runs.
Pepe akiingia uta mkataamimi ningemtoa laca aingie pepe.