Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mabingwa wa DUNIA nzima
IMG-20220212-WA0047.jpeg
 
Mkuu Castr unamuonaje Unai
inauma!!jamaa anaiacha Gunnerz licha ya kufika fainali Europa league dhidi ya Chelsea anatoka Kapa.Anaingia Villarreal ana chukua kikombe mbele ya man UTD .

Na Sasa Yuko robo fainali Uefa na kama % kadhaa za kuingia nusu fainali kama wakicheza kama walivyo cheza Jana na kuongeza umakini golini.

#arsenal ana gundu.
 
Unaonekama bado mtoto mdogo hata kwa namna unavyoreason mambo.

Mimi napenda madogo kama nyie muelewe mpira in deep. Mpira haupo hivyo mdogo wangu, Unai Emery alikosa imani ya mashabiki ila uongozi ulikuwa na imani naye, ikabidi aende. Football is not a zero sum game, yaani kufanikiwa kwa Unai hakumzuii Arteta kufanikiwa, Arteta anajenga kitu sustainable yaani project over results, nasemaga kila siku watu msiojua mpira ndio mnajudge kila kitu kwa kuangalia matokeo, Striker asiyefunga sio mzuri sasa jiulize kwanini Firmino ni mchezaji mzuri pale Liverpool wakati hafungi compared to their wide forwards? Mnataka kujudge everything in a short run, long run sustainability haina maana kwenu hii ndio akili ya mbongo pure, Barcelona wangempa kazi kocha yoyote elite but they opt for xavi, that's sustainability, rudi shule jifunze soka kabla ya kujudge usichokielewa.
 
Jamaa amekamia UCL.

Kwenye ligi katoka kutembelea kipigo kutoka kwa levante na cadiz.

Na sasa hivi anashika nafasi ya saba with slim chances kuingia namba 6 na 5 so amefanikiwa kuwafanya wachezaji wake wajue kua way in kwenye UCL is thru UCL na siyo kwenye ligi.

Hata hivyo chances za kuchukua kombe la CL nafikiri ni next to impossible.

So sooner or later ataonekana ni kiazi tu.
Tuengee na jamaa atupe Chukwueze. Tumuweke right wing yeye, Saka ahamie left, martinelli aingie middle. positions muhimu hizo zinakuwa na angalau wachezaji wawili wakali.
 
Unaonekama bado mtoto mdogo hata kwa namna unavyoreason mambo.

Mimi napenda madogo kama nyie muelewe mpira in deep. Mpira haupo hivyo mdogo wangu, Unai Emery alikosa imani ya mashabiki ila uongozi ulikuwa na imani naye, ikabidi aende. Football is not a zero sum game, yaani kufanikiwa kwa Unai hakumzuii Arteta kufanikiwa, Arteta anajenga kitu sustainable yaani project over results, nasemaga kila siku watu msiojua mpira ndio mnajudge kila kitu kwa kuangalia matokeo, Striker asiyefunga sio mzuri sasa jiulize kwanini Firmino ni mchezaji mzuri pale Liverpool wakati hafungi compared to their wide forwards? Mnataka kujudge everything in a short run, long run sustainability haina maana kwenu hii ndio akili ya mbongo pure, Barcelona wangempa kazi kocha yoyote elite but they opt for xavi, that's sustainability, rudi shule jifunze soka kabla ya kujudge usichokielewa.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Naona mnachambua tembele mana nyie hamuwezi kuchambua mpira😅😅😅
 
inauma!!jamaa anaiacha Gunnerz licha ya kufika fainali Europa league dhidi ya Chelsea anatoka Kapa.Anaingia Villarreal ana chukua kikombe mbele ya man UTD .

Na Sasa Yuko robo fainali Uefa na kama % kadhaa za kuingia nusu fainali kama wakicheza kama walivyo cheza Jana na kuongeza umakini golini.

#arsenal ana gundu.
Tuchel kachukua kombe Chelsea akitokea wapi?

Na sasa hivi timu yake iko wapi?

Wakati mwingine mnatia aibu hadi uvivu kuwajibu shwain
 
Unaonekama bado mtoto mdogo hata kwa namna unavyoreason mambo.

Mimi napenda madogo kama nyie muelewe mpira in deep. Mpira haupo hivyo mdogo wangu, Unai Emery alikosa imani ya mashabiki ila uongozi ulikuwa na imani naye, ikabidi aende. Football is not a zero sum game, yaani kufanikiwa kwa Unai hakumzuii Arteta kufanikiwa, Arteta anajenga kitu sustainable yaani project over results, nasemaga kila siku watu msiojua mpira ndio mnajudge kila kitu kwa kuangalia matokeo, Striker asiyefunga sio mzuri sasa jiulize kwanini Firmino ni mchezaji mzuri pale Liverpool wakati hafungi compared to their wide forwards? Mnataka kujudge everything in a short run, long run sustainability haina maana kwenu hii ndio akili ya mbongo pure, Barcelona wangempa kazi kocha yoyote elite but they opt for xavi, that's sustainability, rudi shule jifunze soka kabla ya kujudge usichokielewa.
Hapa kwa Xavi natofautiana na wewe.

Koeman alipoichukua Barca alikua ameamua kuisuka kutokea chini.

Akaintroduce youngsters 12 ambao akawa anawapa namba regularly.

Under Koeman Barca ilikua kama Spain ya Euro 21 inamiliki mpira, create chances ila hawascore.

Nafikiri pia kauli za utata za Koeman alizokua akitoa mara nyingi zilichangia yeye kuondoka.

Xavi amerithi wale youngsters 12. Ameleta Torres, Alves, Traore na Auba, Dembele kapona, matokeo anapata.

Kuifunga Madrid nafikiri ni kubwa kuliko to the extent wanasahau aliyelaza msingi wa youngsters wa Xavi ni Koeman na bado ana safari ndefu, kwa maoni yangu ni kwamba Arteta yuko karibu kuitibu Arsenal kuliko Xavi Barca kama route itakua hii hii bila cash kuhusika kati.

NB. Barca aweza enda CL kabla ya Arsenal koz ligi yao siyo pinzani sana
 
kwamba ARTETA anaweza kuitibu Arsenal kabla ya XAVI kuitibu Barcelona.
 
Kama jamaa asipokuelewa hapa, hataweza kuelewa kamwe.. Umemaliza kila kitu.. Arteta anaenda kutengeneza timu bora Sana pale Arsenal. Na jamaa atakaa muda mrefu sana pale Arsenal
 
Hapa kwa Xavi natofautiana na wewe.

Koeman alipoichukua Barca alikua ameamua kuisuka kutokea chini.

Akaintroduce youngsters 12 ambao akawa anawapa namba regularly.

Under Koeman Barca ilikua kama Spain ya Euro 21 inamiliki mpira, create chances ila hawascore.

Nafikiri pia kauli za utata za Koeman alizokua akitoa mara nyingi zilichangia yeye kuondoka.

Xavi amerithi wale youngsters 12. Ameleta Torres, Alves, Traore na Auba, Dembele kapona, matokeo anapata.

Kuifunga Madrid nafikiri ni kubwa kuliko to the extent wanasahau aliyelaza msingi wa youngsters wa Xavi ni Koeman na bado ana safari ndefu, kwa maoni yangu ni kwamba Arteta yuko karibu kuitibu Arsenal kuliko Xavi Barca kama route itakua hii hii bila cash kuhusika kati.

NB. Barca aweza enda CL kabla ya Arsenal koz ligi yao siyo pinzani sana

Mkuu ni rahisi sana Xavi kuwin La liga hata kufanya vizuri UCL msimu ujao kuliko Mikel Arteta, sio kwamba Xavi ni bora kuliko Arteta ila ni sababu ya vikosi walivyorithi, Kwangu Arteta ni bora kuliko Xavi.
Hapa kwa Xavi natofautiana na wewe.

Koeman alipoichukua Barca alikua ameamua kuisuka kutokea chini.

Akaintroduce youngsters 12 ambao akawa anawapa namba regularly.

Under Koeman Barca ilikua kama Spain ya Euro 21 inamiliki mpira, create chances ila hawascore.

Nafikiri pia kauli za utata za Koeman alizokua akitoa mara nyingi zilichangia yeye kuondoka.

Xavi amerithi wale youngsters 12. Ameleta Torres, Alves, Traore na Auba, Dembele kapona, matokeo anapata.

Kuifunga Madrid nafikiri ni kubwa kuliko to the extent wanasahau aliyelaza msingi wa youngsters wa Xavi ni Koeman na bado ana safari ndefu, kwa maoni yangu ni kwamba Arteta yuko karibu kuitibu Arsenal kuliko Xavi Barca kama route itakua hii hii bila cash kuhusika kati.

NB. Barca aweza enda CL kabla ya Arsenal koz ligi yao siyo pinzani sana

Barcelona ilikosa balance under Koeman, Xavis elite system pamoja na his tactical id zinaipa Barcelona inachohitaji kwa muda mfupi tu baada ya kijiunga nao, moja ya kitu alichofanya ni kusajili penetrative players Adama, Ferran, Auba sababu makocha wa nyuma walikuwa wamerely on to feet playsrs kama Messi, Griezmann etc...Barca ni wazuri kwenye build up so ujio wa Adama , Ferran etc unawapa uwezo wa kucreate kutoka kwenye midfield areas, pia kutengeza 1 v 1 situations na Kitu kingine kwa wale passers from midfield area inaongeza options sababu uwanja unatanuliwa na hawa outlets wakiwa kwenye touchline.

Sasa inawezekana hadi sasa kama koeman angekuwepo bado wangestruggle kwa kukosa balance kutokana na system anayotumia, Barcelona under koeman was bad Xavi kaleta result

Xavi atafanikiwa haraka kuliko Arteta sababu ya vikosi walivyorithi, Xavi alikuta kikosi kizuri kuliko Arteta Arsenal, kwangu Arteta ni bora kuliko Xavi japo wote on-ball & off-ball idea zao wametoa from the same master, Pep Guardiola.

Arteta alirithi hii timu and he managed to play out from the back with this, also he won two trophies with

IMG_20220409_103357.jpg
 
Back
Top Bottom