Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal ilipogoma kusajili mid na nikasemea hii ishu itatugharimu nilibadilishwa mawazo na matokeo chanya tuliyoyapata.

Apparently it shows
Nilipoona kwenye kikosi hakuna partey nikaona mambo yanakuwa magumu mnoo
 
Nketiah in, arteta hii game anaionajehaoni matatiza yapo dimba la kat?
 
Lile jini limerudi Emirate. Wa kutubu mkatubu, wa kutambika haya
 
Leo kikosi kimetugharimu nahs arteta aliichukulia poa hii game
 
Umeyaona Leo?... Tatizo mkiambiwa munakuwa wabishi.

Arsenal bado saana,Arsenal ni nguvu ya soda.

Anaweza akawin MFULULIZO game 6 ,Must game ana poteza point. Normal.

Arsenal bado Sana,Tena Saana.Kwanini???? Ana kikosi kidogo.Ushindi wake unategemea first eleven yake ikiwa fit 100%.

Tieney hayupo kawekwa Tavares,pengo limeonekana wazi.

Martinelli hakuwa fit ndo maana hakuanza,nafasi yake kapewa Rowe ambaye mara nyingi ni mzuri akitokea benchi,pengo halikuzibika.

Kama kawaida midfielders wa Arsenal nguvu nyingi akili kidogo(Xhaka na Partey)Asipopata kadi ya njano,atapata nyekundu au ata sababisha nyekundu hasa ikitokea wamekutana na viungo Wanao tumia akili nyingi Garaga.Bisouma,Ward pouse.
@Mervin nasubiria wachambuzi die hard fans wa Arteta waje humu Jukwaani
 
Back
Top Bottom