Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal must get the win today otherwise ni Tottenham Hotspur atakuwa na big chance ya kumaliza top 4 last season Brighton tulimfunga home and away but ni timu ambayo inatusumbua sana tukiplay nao na waliwahi kutubania nafasi ya top 4 tena Emirates wakati wa Unai
Brighton hanaga Adabu pale Emirates
 
Akiondoka KROENKE Arsenal itatafuta kocha mwenye EXPERIENCE YA KUTOSHA ya michuano ya Ulaya kwa ujumla sio MBAHATISHAJI na hapo Arsenal itapata wachezaji wenye QUALITY AND EXPERIENCE last 2 weeks Arsenal alikuwa ana game 3 mkononi leo zimeyeyuka kama barafu hakuna kocha Duniani mwenye EXPERIENCE YA KUTOSHA atapoteza big opportunity kama hii Sisi wengine haya tuliyajua na hatushangai Bye bye Top 4 tujipange na Europa au Conference League

Arteta akiendelea kuwa kocha wa Arsenal na owner Kroenke kamwe Arsenal haitakuja kupata mafanikio zaidi ya kushiriki EPL na kuambulia nafasi ya 6 pekee

Arteta kapambwa sana na baadhi ya die hard fans humu ila kiwango chake ni cha kawaida mno mno game 4 mkononi then anapoteza big opportunity ya kwenda champions league?ohh my God
Mashabiki wenzako walishakubaliana kua makombe sio kipaumbele cha timu yenu, kipaumbele chenu ni clean shit na kupiga vyenga kwa wingi.
 
Will Jr mid ni muhimu. I hate that am right at this point
Ukiangalia XG numbers utaona tunacreate many chances ila hatupo clinical enough, kwa game hii Arsenal created (2.27)1- 2(0.7) Brighton, kwa ishu ya midfield, of course, yes, we are not technically secure nadhani inachangiwa na experience, also tukiwa under pressure tunakosa Calmness, naona timu yote technical quality imeshuka hizi game mbili, magoli tunayoconcede ni mepesi na tunapoteza chance nyingi, leta maoni..
 
The line up and the set up were pretty wrong in the first place. We knew playing Xhaka at LB would get exposed by teams, then we missed a commander in MF.

We all have to realise that we ain’t a complete product just yet, it will take time and trust plus support from the board and the fans. Top 6 looks more feasible, top 4 is still beyond us
 
leo kweli kachemka wazi wazi kabisa. sijui kama atajifunza. maana kama mashabiki wanaona wazi kakosea, yeye ataweza kuona makosa yake ajirekebishe?
Selection ilikuwa poa, very tactical, hata structurally he did best unaona tunacreate enough chances thru sustaining waves of attacks, the issue ni individual

Mfano aliopt Xhaka acheze LB that means 3-2-5 in build up, xhaka as 3rd CB, na ikiwa kwenye settled play Xhaka anamove kwenye block ya midfield anaform 2-3-5 shape inatupa compactness if play breaks down, kocha yupo so tactical ila experience inatuua, hawa watoto wangekuwa na uzoefu hata miaka miwili technical security ingekuwa juu, so we managed to pin brighton back but we lost the game.

They won 2-1. Tufocus na mechi ijayo.
 
Akiondoka KROENKE Arsenal itatafuta kocha mwenye EXPERIENCE YA KUTOSHA ya michuano ya Ulaya kwa ujumla sio MBAHATISHAJI na hapo Arsenal itapata wachezaji wenye QUALITY AND EXPERIENCE last 2 weeks Arsenal alikuwa ana game 3 mkononi leo zimeyeyuka kama barafu hakuna kocha Duniani mwenye EXPERIENCE YA KUTOSHA atapoteza big opportunity kama hii Sisi wengine haya tuliyajua na hatushangai Bye bye Top 4 tujipange na Europa au Conference League

Arteta akiendelea kuwa kocha wa Arsenal na owner Kroenke kamwe Arsenal haitakuja kupata mafanikio zaidi ya kushiriki EPL na kuambulia nafasi ya 6 pekee

Arteta kapambwa sana na baadhi ya die hard fans humu ila kiwango chake ni cha kawaida mno mno game 4 mkononi then anapoteza big opportunity ya kwenda champions league?ohh my God
Tatizo la mashabiki wa Arsenal humu wameanza kuishabikia juzi juzi tu na ndiyo maana hawaelewi tunaposema KROÈNKE HAFAI
 
Back
Top Bottom