Mkuu ni rahisi sana Xavi kuwin La liga hata kufanya vizuri UCL msimu ujao kuliko Mikel Arteta, sio kwamba Xavi ni bora kuliko Arteta ila ni sababu ya vikosi walivyorithi, Kwangu Arteta ni bora kuliko Xavi.
Barcelona ilikosa balance under Koeman, Xavis elite system pamoja na his tactical id zinaipa Barcelona inachohitaji kwa muda mfupi tu baada ya kijiunga nao, moja ya kitu alichofanya ni kusajili penetrative players Adama, Ferran, Auba sababu makocha wa nyuma walikuwa wamerely on to feet playsrs kama Messi, Griezmann etc...Barca ni wazuri kwenye build up so ujio wa Adama , Ferran etc unawapa uwezo wa kucreate kutoka kwenye midfield areas, pia kutengeza 1 v 1 situations na Kitu kingine kwa wale passers from midfield area inaongeza options sababu uwanja unatanuliwa na hawa outlets wakiwa kwenye touchline.
Sasa inawezekana hadi sasa kama koeman angekuwepo bado wangestruggle kwa kukosa balance kutokana na system anayotumia, Barcelona under koeman was bad Xavi kaleta result
Xavi atafanikiwa haraka kuliko Arteta sababu ya vikosi walivyorithi, Xavi alikuta kikosi kizuri kuliko Arteta Arsenal, kwangu Arteta ni bora kuliko Xavi japo wote on-ball & off-ball idea zao wametoa from the same master, Pep Guardiola.
Arteta alirithi hii timu and he managed to play out from the back with this, also he won two trophies with
View attachment 2181426