Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,384
as i wrote early, yesterday defeat was very embarrasing, let's bring our emotions down before we ignite anger. tuongelee udhaifu na strength zetu. haipendezi tuwe mfano mbaya kwenye uzi wetu kwamba tukifungwa, wenyewe kwa wenyewe tuanzisha ligi yetuMkuu, sitaki kusound arrogant ila fanbase yetu bado sana kuelewa football technical-wise, naweza kuonesha comment yangu wakati mechi inaendelea na comment ya Mikel Arteta in a post match conference uone nachokiona mimi na kwanini nasema viera hakuwa na maajabu yoyote. Ukiangalia football kwa final result hutokuja kuelewa mpira kamwe na ndio ishu inakupata wewe ndugu leo unataka timu kesho, unasifia timu.

