Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

With the way it goes it is better to bring Nketiah on and Lacazette out. Having more of the ball but no impact
 
Haya moja, mbili tatu twende...
Ze championziiiii...
FB_IMG_1649103906946.jpg
 
Game over. Rubbish, mchezaji mmoja anazunguka wachezaji wanne na kupata penalty!!! Let us start thinking of life in Europa league
 
Yan bora Chelsea wangeshinda tu,
Maana wamemtafutia matatizo crystal palace,
Tobo la kuingia top 4 tunaliona hili hapa alafu sijui nani tunakutana nae!!!

Mniga partey, xhaka, odegard, saka, martinel

Sipatii picha jinsi Watakavyo chafukwa
Baadhi ya fans kama nyie mkiambiwa mpunguze mdomo mnaishia kukashfu watu
 
There's no easy way up there, watu wakiwa critical na team wengine wanadhani hatuipendi... anyway that's soccer. Hatuipendi hii hali Ila top four kwa hizi away games naona ndoto.
FACT mimi na wewe na baadhi ya fans tukicritisize tunaonekana wahamiaji haramu but in reality Arsenal ya champions league but you never know nine games left kati ya hizo kuna Spurs Chelsea West Ham Manchester United mhhhhhhhhh
 
Back
Top Bottom