Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

3rd and 4th places are there for anyone.

Yaani yoyote atakayekuwa na bahati na nguvu hizi games za mwisho ndio atakuwa 3rd and 4th.

Huku 1st na 2nd itaenda hadi mwisho...
 
Ile siku united anacheza na spurs na akashinda united nikasema ni bora ameshinda kwakua spurs ana fixture nyepesi kuliko westham wala united.

Namna pekee atazingua ni ile kwamba spurs finds a way to be spurs
FACT ulikuwa sahihi na game yake ngumu ni vs Liverpool ila remain games zake sio ngumu ukitoa Vs Arsenal ambayo itaamua top 4 (wote wapo kwenye mizani sawa)
 
FACT ulikuwa sahihi na game yake ngumu ni vs Liverpool ila remain games zake sio ngumu ukitoa Vs Arsenal ambayo itaamua top 4 (wote wapo kwenye mizani sawa)

Don’t underrate teams in the relagation territory, with reference to what happened yesterday to chelsea.
Tough games ahead of us are; man United, chelsea, Spurs and westham
 
Don’t underrate teams in the relagation territory, with reference to what happened yesterday to chelsea.
Tough games ahead of us are; man United, chelsea, Spurs and westham
That's why nasemaga May 22 ndio ntaongea baada ya msimu kuisha kwa sasa Msimu bado kabisa mtu kujitamba tuna Spurs West Ham Chelsea (zote away)
 
Kufungwa kwa chelsea
Ushindi huu wa spurs

Naona kama wamemtafutia matatizo patric V
Yan partey, saka, odegard, martinel, xhaka, waambiwe tumeshushwa top 4, kwaio tunahitaji ushindi wa damu, machozi na jasho
Sidhani kama kutakua na usalama

Jini letu kama kawida lipo pale golin. Ata inzi hapita
 
So far we have one injury- Ramsdale but I trust Leno considering that he is looking for team to take him after this season, thus displaying his prowess
 
respect kwa mpinzani ni ki2 cha muhim ,uelewa w football hasa timu zinav cheza pia n ki2 cha msingi sna kabla hujamuonglea mpinzan wko.

vzuri tukajnga tabia y kutzama games dk 90 full n sio highlights iw ni arsenal inacheza ama timu nyingne yyte ile.

itasaidia kuwez kujua namna nzur y kumuonglea opposition badla y kuongea easy as if unacheza PES ama FIFA.
 
Back
Top Bottom