Majibu yetu mnayo chelsea3 bila sema ivi mlikua mnafanyaj uwanjan![]()
Majibu yetu mnayo chelsea3 bila sema ivi mlikua mnafanyaj uwanjan![]()
Ambacho siyo cha kawaida ni jinsi Arsenal inavyokua hovyo katika kushikilia fursa hii tendency imekuepo kwa muda mrefu.Wakuu mpira sio vita kwamba lazima mtu afe ndo ushinde. Timu yetu imekuwa ikifanya vzr lkn leo hali haikuwa nzuri kabisa na hii huwa inatokea na kufungwa mechi ya leo haina maana kwamba nafasi ya kuingia top 4 itakuwa ngumu kuliko ilivyokuwa mwanzo hapana.
Kipindi cha kwanza ni km vile timu ilikuwa imepigwa dolo yan wachezaji karibia wote walikuwa wazito, nadhan hii inaweza kusababishwa na uchovu au kutotrain kwa pamoja kwa muda katika kipindi cha mechi za timu za taifa na ukizingatia asilimia kubwa ya wachezaji wa kikosi cha kwanza waliitwa timu zao za taifa.
Binafsi japo nimesikitika kupoteza mechi lkn kocha amefanya kila jitihada ili kunusuru kupoteza point lkn ndo hivyo ten a mambo yalikuwa magumu. Nadhani sasa gem inayofuata tunaweza kurudi kwenye mwendelezo wetu wa ushindi na hatimae kujihakikishia top 4.
Lkn pia wakuu tujifunze kuwa na mioyo migumu tusiwe tunaona mapungufu tu pale timu inapofungwa kufungwa kwenye mpira ni suala la kawaida hata kama una kikosi kizuri ndo maana utaona kila timu inafungwa
Umeamua kumsigina papasi kwa kisigino kabisa baada ya kuona kucha zimeshindwaJamani Maxence Melo kuna mtu ananitukana bila sababu jamani ona ananitukania mama yangu kisa Arsenal kafungwa kashindwa hoja anaanzisha matusi tena ya mzazi

Pole sana ndugu yangu.Jamani Maxence Melo kuna mtu ananitukana bila sababu jamani ona ananitukania mama yangu kisa Arsenal kafungwa kashindwa hoja anaanzisha matusi tena ya mzazi
Eti Vierra hana maajabu?Tactical intelligence ipi? Mimi naongea kitu nachokijua, Viera hana maajabu yoyote, wachezaji wetu wana ufather sometimes, unawezaje kucontrol game kama wachezaji hawana calmness? Nafasi ngapi za wazi tumetengeneza tunakosa wao wanafunga?
Tactical intelligence ipi? Mimi naongea kitu nachokijua, Viera hana maajabu yoyote, wachezaji wetu wana ufather sometimes, unawezaje kucontrol game kama wachezaji hawana calmness? Nafasi ngapi za wazi tumetengeneza tunakosa wao wanafunga?
Ameshindwa hoja anaanza kutukania wazazi, that's being very stupid, hasa katika mambo ya mpira. Akikasirika aende kulala huko, kwani kuna aliyefurahi kupoteza mechi ya jana.Jamani Maxence Melo kuna mtu ananitukana bila sababu jamani ona ananitukania mama yangu kisa Arsenal kafungwa kashindwa hoja anaanzisha matusi tena ya mzazi
Hakuna aliyefurahia Arsenal kupoteza game vs Crystal Palace yesterday sababu ilikuwa ni game ambayo asilimia 70 tuliamini tutapata something ila Arsenal yetu haijawahi kubadilika pale kwenye game ambazo ni serious lazima tupoteze points for more than 5 years hii tabia haijawahi kubadilika kuanzia kwa Emery Arteta hata babu Wenger but mtu anakosa hoja anakuja kukutukania mzazi haiwezekani banaPole sana ndugu yangu.
Huu ni mpira na sisi ni mashabiki na watu tunatofautiana huu utofauti hauhalalishi kutukanana.
Also kua fasta kujua mtu kama hataki kitu.
Hiki cha kuchukua points ngapi kwa fulani wala siyo kipimo sahihi we kinega.Eti Vierra hana maajabu?
Vierra amekusanya 4 points kwa man city.
We umekusanya point ngapi kwa man city?.
Mashabiki wa hiki kitimu bhana.
Binafsi hua sientertain mtu anitukanie mama.Hakuna aliyefurahia Arsenal kupoteza game vs Crystal Palace yesterday sababu ilikuwa ni game ambayo asilimia 70 tuliamini tutapata something ila Arsenal yetu haijawahi kubadilika pale kwenye game ambazo ni serious lazima tupoteze points for more than 5 years hii tabia haijawahi kubadilika kuanzia kwa Emery Arteta hata babu Wenger but mtu anakosa hoja anakuja kukutukania mzazi haiwezekani bana
uwa natofautiana naye when claims that he sees what don't see in football.Binafsi hua sientertain mtu anitukanie mama.
Will Jr kazingua, iko wazi.
Ila bro itabidi uachane na mtu akionyesha hataki tena muinteract
Haya basi mmeshinda 5 bila.Katuoutsmart kwa kipi? eleza wewe unachojua?, the problem is that People judge things by results