HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,593
- 6,932
sawa kabisa. Kuna wanaojawa na hofu kuwa tumeanza kupambania top 4 kama kina nyumbu na kremlin kwa sababu tumepotea 3 seasons. Kumbe top 4 ilikuwa kawaida sana kwetu kushiriki na kiu ya fans ni mataji, haswa premier league. Pia champions league tunataka kufika mbali. Baadae tuichukue pia. Hapo sasa pia ndo kuna wana asenali wasiodhani mikel ndiye wakutuletea hayokuna watu wanaogopa kifuatacho like hatustahili kuwa hapo tulipo.in case waanze tu kuzoea maana tuna misimu miwili mbele kabla hatujaiona arsenal ya ndoto zetu.tukifanikiwa kutunza the curent squad na few signings watakaoongezeka naamini we will be a threat

