42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,836
- 8,874
Una ubora gani wewe. Wakubwa wpte wamekukojolea!!!!Yan Arsenal kupoteza game ya jana, maneno yanayosemwa utazan ndo game ya kwanza tumefungwa toka ligi inaanza, ila hii inaonyesha ni kwanamna gan unapokua bora unapata maadui wengi sana tofauti na mwanzo ilivyokua
Ubora among norwich city nao ni ubora?