Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Together we stand wakuu, for better and for worse!
 
poleni sana waheshimiwa. michelle bili yako ya net ya mwezi huu nitalipa mimi.
 
Leo bila Aluminium mngepigwa 6.

Poleni sana watani.
 
ndo zao....naandika majina hapa....siku ya mechi zao....wiki nzima ninaotesha mizizi kwao

Michelle pole sana ila usinikasirikie naomba tikikutana kwenye majukwaa mengine tusichuniane hahaha,raha sana leo........
 
Poleni watani!

Lakini by now nina uhakika mmeshakuwa wazoefu wa majanga kama haya na haiumi kiviiiile. Msijari sana, bado FA na EPL.

This one was just too big for you guys...and you know it.
 
Hongera sana kwa timu yangu nzuri ya ARSENAL.....aluta continua....bado mapenzi yetu yako pale pale.....!!!:rain:
wageni huu ndo wakati wa kuondoka,tuna kikao cha familia.....!!!
 
Haya wakuu wamebebwa kama vile mategemeo ya wanoko wote khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee thas the only way Arsenal can lose 10 against 11 khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Refa katuua huyu, turudi zetu Epl ss! Usiku mwema wadau wenzangu na hongera kwa wote tulikomaa mwanzo hadi mwisho! Asiekubali kushindwa si mshindani wacha ss tugange yajayo!
 
Hongera sana kwa timu yangu nzuri ya ARSENAL.....aluta continua....bado mapenzi yetu yako pale pale.....!!!:rain:
wageni huu ndo wakati wa kuondoka,tuna kikao cha familia.....!!!

namwakilisha mwanangu tafadhali!
 
barcelona siku zote wanabebwa wakicheza na timu za england...mnakumbuka few seasons ago walipocheza na chelsea?

Anyway poleni watani, ndio ukubwa huo.
 
mkuu maneno mature haya... you are truly a lyrical master... tukajipoze kule wa blog ya kitime
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…