42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,836
- 8,874
Penati ni ushindi wa mezani. Haina utofauti na kurusha shilingi.Wewe liver si kakupiga 11 juzi tu
Penati ni ushindi wa mezani. Haina utofauti na kurusha shilingi.Wewe liver si kakupiga 11 juzi tu
We jamaa una akili kiduchu kha!!! hahahaha...... ndio uwezo wako wa kufikiri au umeamua kuchekesha tu umati.Kwa City / Liverpool tumezidiwa quality wise, kinacholeta matumaini ni kuwa tunaweza kushindana na hizi timu ingawaje Squad Rebuild haijaisha na Sio kuwa hatujui kucheza na big teams, Waliobaki sioni wakitunyima usingizi nadhani ndio maana FA wanajaribu kureschedule hizi mechi ili Gunners tudrop points na timu pendwa zifuzu UCL.
Kinega weweSubiri tuwaoneshe sisi Urusi tulivyo na roho mbaya maana wametuzoea vibaya
Теперь более длинные предложения, да?Глупые вы жители Эмиратов. Ваша способность состоит в том, чтобы просто брать чашки коз. Вы не можете бороться за мужские трофеи, как УЕФА.
Tapeli likajifanya linaingiza kipa spesho wa penati.Penati ni ushindi wa mezani. Haina utofauti na kurusha shilingi.
Ila 11Penati ni ushindi wa mezani. Haina utofauti na kurusha shilingi.
Watoto ni nyinyi ambao mnajiona wakubwa halafu mkikutana na wakubwa mnagongwa tu...Punguza utoto, umri unaenda huo.
Hoja inajibiwa na hoja sio vioja.We jamaa una akili kiduchu kha!!! hahahaha...... ndio uwezo wako wa kufikiri au umeamua kuchekesha tu umati.
kwani si zilikuwa penati mkuu..?!Wewe liver si kakupiga 11 juzi tu
We subiria waje hapo darajani kukupigia manatihii arse8 ni takataka sana ..Inashindwa kupata matokeo mbele ya timu nyepesi kama hii liverkuku. Alaaah...
Ben White, Bukayo Saka, Aaron Ramsdale na Emile Smith-Rowe wameitwa kikosi cha timu ya taifa England.
Nasikia Rashford na Sancho wametemwa
hizi takataka zinashindwa kukufunga wewe kuku ..Kwa ma giant kama sisi zitaweza kuchomoka kweli?! hivi unajua London inamilikiwa na nani..?!We subiria waje hapo darajani kukupigia manati
We jamaa ndiyo maana ulitapeliwa. Mmetapeliwa na thom Tapeli mpaka Ugumu wangu kakutapeli mi naona kama ipo kwenye damu yako kutapeliwahizi takataka zinashindwa kukufunga wewe kuku ..Kwa ma giant kama sisi zitaweza kuchomoka kweli?! hivi unajua London inamilikiwa na nani..?!
Ile ilikuwa mechi ya wakubwa Arsenal usingeweza mziki ule, penalty 11-10,siyo ishu ya kitoto lazima uwe na adabu.Wewe liver si kakupiga 11 juzi tu
Nimeikubali consitency ya Leeds mpaka wanasawazishaJiminez kapewa red card jamaa ni kero huyu, dhidi ya Man city pia alipewa red
Kuna shida ambayo imekuwa nitatizo la arsenal kwa muda mrefu na pengine ndiyo inayotugharimu tukikutana na timu za "A"list.Against Aston villa won't be easy, sio timu dhaifu kwa sasa, an away game...mmmh!
Umesahau kuongeza nyama hizi:Chelsea ndio timu iliyocheza mechi nyingi msimu huu bila kupumzika na hapo ipo nafasi ya tatu ingekuwa ni Arsenal na hicho kikosi chenu sijui mngekuwa nafasi ya ngapi
We tulia tu na kitimu chako. Kubali tu hoja za jamaa!Hope za kijinga ni kusema kwamba tuna uwezo wa kumfunga chelsea?? Timu kubwa ni ngapi na timu za kawaida ni ngapi?? Kwahiyo kwako unaona ni bora kumfunga liverpool au Man city alafu kwa wengine tukapoteza??
Basi wewe shabiki usiekuwa na mdomo naomba uniambie ni kwanini tusipate haiwezekani kupata matokeo kwa chelsea na Man u. Na naomba utoe sababu ambazo argumentative ili kila mmoja wetu humu aweze kupata uhalisia wa hoja yako na usilete zile habari zako za mara arteta hivi mara vile. Haya twende kazi shabiki usiyekuwa na mdomo