Hope za kijinga ni kusema kwamba tuna uwezo wa kumfunga chelsea?? Timu kubwa ni ngapi na timu za kawaida ni ngapi?? Kwahiyo kwako unaona ni bora kumfunga liverpool au Man city alafu kwa wengine tukapoteza??Tusi ni lipi hapo tuanzie hapa kwanza?ndiyo unajipa hopes za kijinga kitu ambacho hakina mantiki
Baadhi ya fans kama nyie mna mdomo sana wakati timu ndiyo kwanza inajengwa tukishinda baadhi ya games tena mechi za kawaida makelele kibao jana tumekutana na Giant sasa hivi tunaendelea kujipa hopes ni Liverpool tumeplay nayo Yes but kuna big games bado zinakuja tuache kelele sana tusubiri May kama tutakuwa Top 4 itakuwa jambo la heri na la kufurahisha kwa sasa ni mapema sana kuanza kelele ambazo hazina mantiki
Basi wewe shabiki usiekuwa na mdomo naomba uniambie ni kwanini tusipate haiwezekani kupata matokeo kwa chelsea na Man u. Na naomba utoe sababu ambazo argumentative ili kila mmoja wetu humu aweze kupata uhalisia wa hoja yako na usilete zile habari zako za mara arteta hivi mara vile. Haya twende kazi shabiki usiyekuwa na mdomo

