Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,500
- 6,458
Martinelli need some rest..that boy wont stop running... About ramsdale arteta wants to ground him after jota's goal....terrible positioningWhat problem 2 them ?
Martinelli need some rest..that boy wont stop running... About ramsdale arteta wants to ground him after jota's goal....terrible positioningWhat problem 2 them ?
Let's wait bro may be inawezekana points zikapatikana msimu haujaisha tusubiri May after 38 gamesChief mara ya mwisho ni 2015.
Arsenal kupata points kwa big clubs haijawahi kua tatizo. Hii ishu unayoiraise imekua tatizo msimu huu lakini misimu ya nyuma mbona hao uliowataja tumepiga sana tu?
Na hata hivyo baadhi yao mfano chelsea na united bado hatujacheza nao mara ya pili.
Si nikawa nasema Aaron siyo mzuri katika shot stopping mkadai anamzidi Leno? Ingawa hii sababu yako naona siiaminiMartinelli need some rest..that boy wont stop running... About ramsdale arteta wants to ground him after jota's goal....terrible positioning
Let's wait bro may be inawezekana points zikapatikana msimu haujaisha tusubiri May after 38 games
🚨 Aaron Ramsdale (hip) and Gabriel Martinelli (illness) miss out on today's matchday squadSi nikawa nasema Aaron siyo mzuri katika shot stopping mkadai anamzidi Leno? Ingawa hii sababu yako naona siiamini
Unampenda sana Pepe broWishes Pepe would have started to be subbed by ESR



but ukimtoa Pepe benchi letu no one wa kuingia na kubadili results kama zipo ovyoUnampenda sana Pepe bro![]()
Tukicheza vizuri Tyrone Mings atatusaidia
Unaongea hivyo wewe kama naniOllachuga na wenzio mtupumzishe tunataka kudiscuss our issues.
Unaongea hivyo wewe kama nani