42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,836
- 8,874
Imagine mpaka Lukaku anaingia kwenye nyavu za Arsenyeto.Kwani niliyoipiga tatu ni ipi?
Hiyo ni timu au Kigenge cha wahuni/?
Imagine mpaka Lukaku anaingia kwenye nyavu za Arsenyeto.Kwani niliyoipiga tatu ni ipi?
эта женская ревностьгнев убьет тебя
Mechi moja tu ya Arsenal iliahirishwa kwa ajili ya COVID. Ilikua against Liva.Kwa hiyo nyie match zenu zote zilizokuwa postponed mlikuwa na wagonjwa saba wa Covid?
Ufalme wa kuku labda.Poa poa. PM lakini. huku tuendelee kuwakera hawa wavamiaji wa London wanaoutaka ufalme wetu
Endelea kulia arsenal ikibakwa vikali kila siku.how on earth, tunawezi kuendesha timu kwa ukwapuaji na kupinga deal, mtabaki pekee yenu kwenye list of shames
Striker hadharauliwi. Hujui muda gani anaingia nyavuni.Imagine mpaka Lukaku anaingia kwenye nyavu za Arsenyeto.
Hiyo ni timu au Kigenge cha wahuni/?
Mbona nimesema unitajie match moja ya chelsea iliyoahirishwa sababu ya covid hujataja?Mechi moja tu ya Arsenal iliahirishwa kwa ajili ya COVID. Ilikua against Liva.
Wewe Burnley ndio saizi yakoStriker hadharauliwi. Hujui muda gani anaingia nyavuni.
Striker wetu kinabo kashawatungua nyinyi. Adebayor
жуликТы идиот
Kwa sababu hamjawahi kua na kesi ya first eleven wenu kua na covidMbona nimesema unitajie match moja ya chelsea iliyoahirishwa sababu ya covid hujataja?
Yea ni kweli. Ndiyo maana ipo juu yetuWewe Burnley ndio saizi yako
Chelsea haijaanza kufanyiwa figisu leo.Kwa sababu hamjawahi kua na kesi ya first eleven wenu kua na covid
Мошенник - Арсеньетожулик
Siku mtakayo declare kwamba timu yenu ni matakataka ndio nitadeclare.Ukuage basi we mtu, mbona unaonekana upo JF muda mrefu sana! We kila siku mabishano yasiyo msingi!
Kinabo hata kuandika upuuzi hauoni aibuChelsea haijaanza kufanyiwa figisu leo.
Ila pamoja na figisu zote bado tupo moto.
Tuna ramani nzuri kwenye soka la Ulaya kuliko nyinyi matakataka.
невежество стопМошенник - Арсеньето
Wewe liver si kakupiga 11 juzi tuhii arse8 ni takataka sana ..Inashindwa kupata matokeo mbele ya timu nyepesi kama hii liverkuku. Alaaah...
Ndio maana liver alikupiga 11munamlisha maneno tu ..Eti bado mdogo ..Angefunga je? ungesema bado mdogo? akina Mount wanamlishaga majani huyo vvd ..Saka anafelia wapi?
Subiri tuwaoneshe sisi Urusi tulivyo na roho mbaya maana wametuzoea vibayaKinabo hata kuandika upuuzi hauoni aibu
Глупые вы жители Эмиратов. Ваша способность состоит в том, чтобы просто брать чашки коз. Вы не можете бороться за мужские трофеи, как УЕФА.невежество стоп