Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tuache kujipa hopes za kijinga Chelsea ni big threat kwetu kama alitufunga 2 tena Emirates why not at Stamford Bridge?kwa sasa hakuna timu nyepesi at all hao Crystal Palace Brighton Aston Villa Newcastle kwa sasa wanaweza wakabeba points muda wowote

Kuna West Ham Tottenham Manchester United pia that's why huwa nasema ikifika May ndio itafahamika kama Arsenal yupo top 4 (tunaombea)au lah but let's wait and see
Bila kutoa matusi huwa hujisikii vzr nini mkuu? Wapi imeandikwa kuwa anaekufunga kwako ni lzm pia akufunge kwao? Ni mara ngapi timu zinapoteza nyumbani na kupata matokeo ugenini?

Huwa sifurahishwi na matusi yako mkuu na kama hutaki kuacha hii tabia basi kutakuwa kuna shida katika malezi yako mkuu.
 
Vikwazo wanawekewa Chelsea. Madhara yanatokea kwa Arsenal na Man U. Poleni sana
Hata sijamaanisha hivyo unavyodhani. Nimeongea kimpira/kibinadamu zaidi.
Huwa inatokea kuwa timu moja au zote zinazuiliwa kuwa na mashabiki uwanjani kwa sababu za kinidhamu kwa timu au mashabiki. Ila hapa hali ni tofauti. Mashabiki wa timu flani wanashindwa kuangalia timu yao kwa sababu ya matatizo nje ya uwezo wao. Binafsi nadhani Boro wangeonesha ushikamano flani tu kwa kuwauzia mashabiki wa Chelsea baadhi ya ticket zao. Najua haiwezekani. Ni suala la kusikitisha kiujumla bila kujali ni shabiki wa timu gani. Na hapo tumeongea ushabiki wa mpira tu ila kuna makubwa zaidi ambayo hatuwezi kuongea.

Ingekuwa Arsenal vs Chelsea halafu Chelsea fans wazuiwe kununua tickets kwa cup game muhimu, ningefurahi kuona Arsenal wanawauzia Chelsea fans tickets ili waweze kushuhudia timu yao. Wazo tu.
 
Tuache kujipa hopes za kijinga Chelsea ni big threat kwetu kama alitufunga 2 tena Emirates why not at Stamford Bridge?kwa sasa hakuna timu nyepesi at all hao Crystal Palace Brighton Aston Villa Newcastle kwa sasa wanaweza wakabeba points muda wowote

Kuna West Ham Tottenham Manchester United pia that's why huwa nasema ikifika May ndio itafahamika kama Arsenal yupo top 4 (tunaombea)au lah but let's wait and see
Yaani we jamaa unaongeaga ukweli mtupu, tena ule ukweli mchungu ndio maana mashabiki maandazi wanakuchukia na kukuona kama mamluki.
Arsenal ina mashabiki wachache wenye upeo mkubwa kama wako wa kuchambua mambo kwa weledi bila ya kupelekeshwa na zile hisia za ushabiki.
Yale matusi wanayokutukana ni kutoka na upeo wako wa kufikiri kuwa mkubwa kuliko wao.
Big up sana computerarsenal endelea kuwapa somo hawa wahuni naamini ipo siku akili zao zitafunguka na watakuelewa na kuthamini michango yako.
 
What separated the two teams ?
1647437429237.png
 
Arsenal are fuming over the Chelsea/Man United fixture scheduling… Chelsea Weds night, Man United on the Saturday. They’ve complained to Prem and TV companies. Arteta: “Thanks to the Premier League for that. It’s always Arsenal.”

Arteta not happy at all about the short turnaround before Saturday's lunchtime kick-off at Villa.

"Thank you so much to the Premier League, they have done that and then done it again before we play Chelsea and United. Thank you very much to the PL. It is not fair."
 
Sasa wewe kinega hiyo taasisi yenu ya uhujumu uchumi imeshinda mechi 17 mpaka leo katika mechi 29 ilizocheza Arsenal tumeshinda mechi 16 katika mechi 28.

Halafu upo hapa kujiongelesha kama umekalia moto
Chelsea ndio timu iliyocheza mechi nyingi msimu huu bila kupumzika na hapo ipo nafasi ya tatu ingekuwa ni Arsenal na hicho kikosi chenu sijui mngekuwa nafasi ya ngapi
 
Bila kutoa matusi huwa hujisikii vzr nini mkuu? Wapi imeandikwa kuwa anaekufunga kwako ni lzm pia akufunge kwao? Ni mara ngapi timu zinapoteza nyumbani na kupata matokeo ugenini?

Huwa sifurahishwi na matusi yako mkuu na kama hutaki kuacha hii tabia basi kutakuwa kuna shida katika malezi yako mkuu.
Tusi ni lipi hapo tuanzie hapa kwanza?ndiyo unajipa hopes za kijinga kitu ambacho hakina mantiki

Baadhi ya fans kama nyie mna mdomo sana wakati timu ndiyo kwanza inajengwa tukishinda baadhi ya games tena mechi za kawaida makelele kibao jana tumekutana na Giant sasa hivi tunaendelea kujipa hopes ni Liverpool tumeplay nayo Yes but kuna big games bado zinakuja tuache kelele sana tusubiri May kama tutakuwa Top 4 itakuwa jambo la heri na la kufurahisha kwa sasa ni mapema sana kuanza kelele ambazo hazina mantiki
 
Mkuu usichokijua kwa hawa mashabiki maandazi unapoongea ukweli inakua ni tusi kubwa sana kwao, mashabiki wa hii timu muda wote wanapenda kusikia maneno matamu matamu ya matumaini na kuisifia timu yao.
ki ukweli IQ yako ipo juu zaidi kuliko mashabiki wengi wa Arsenal ndio maana hua unapitia wakati mgumu sana kuelewana na hawa viumbe.
Kwa upeo wako kuendelea kushabikia Arsenal utakua unawakwaza sana hawa mapopoma wanaokutafutia sababu tu ili wakushambulie na kukutukana.
computerarsenal wewe upeo wako ni kua shabiki wa timu yenye watu wanaojielewa kama vile Man United, Liverpool, Man City au hata Chelsea.
Ila kwa hao kwangu pakavu kila siku utakua ni mtu wa kukejeliwa, kubezwa, kudhalilishwa na kutukanwa kisa tu umewazidi upeo wa kufikiri na kuchanganua mambo.
 
Lawama anatupiwa nani mechi hii?

Maana sijaona lawama na malalamiko baada ya kupitia comment mbalimbali humu. Inamaana hamna yeyote aliyefanya makosa?!
Goli la kwanza kosa la kipa. Alikuwa kwenye impossible angle, goli limeingiaje? Ila jumla jumla ni kwamba tumepoteza mechi and we move forward
 
Tuna point 51.

Spurs na Westham wana point 48.

Westham akishinda mechi ijayo atakaa juu yetu kwakua kwa sasa wote tuna GD ya 12.

Spurs ana GD ya 9. Ili akae juu itabidi ashinde 4 bila au matokeo yoyote yatakayompa uwiano huo just to be sure.

Sisi tuna game na Aston Villa. Runner up wa karibu ana game na Leicester.

Game ya Spurs na Westham inapendeza wakitoka suluhu. Game ya united na Leicester matokeo yoyote ambayo united hatoshinda ni mazuri pia.

Hapa ndiyo tushafika kwenye kupiga dua tayari.
Usiwapigie hesabu hao tunaopambania nao 4th place. Kumbuka jumamosi tunacheza game ya mwanzo halafu tunaanza kuwasagia kunguni spurs
 
Kwenye epl sahiz kuna matabaka
Team bora sana(Man city na Liver)
Team bora (Chelsea na Arsenal)
Team za kawaida( Man u,Westham,Tot,Leicter)
Halaf kuna zile dhaifu na zile dhaifu sana

Unapofungwa na team bora sana haimanishi kuwa wewe sio bora

Bravo Arsenal kwa sasa mna timu bora ingawa haijafika level ya bora sana
Ni kweli sana mkuu. Liverpool na Manchester city wanaset benchmark kwa timu nyengine. Arsenal wana timu Bora tu na top four watapata
 
Back
Top Bottom